Gunther1
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 526
- 267
- Thread starter
- #61
Mihogo pesa ngapi uko dar kaka?Mihogo ni mazao kama mazao mengine, hutumika kutengeza unga na bidhaa kibao tu,
Kingine hutumika kama raw material viwandani [emoji23][emoji23][emoji23]au hujui viwanda vyenu hununua mihogo ya Tanzania?