Fact Checking: Rais Magufuli hukumteua Masilingi kuwa Balozi Marekani baada ya kumaliza Ubunge wa Muleba

Kwa kuwa huna akili nina kupuuza. Maana hujui kuwa urais ni taasisi wala sio mtu. Ngoja nikae kimya.
 
Na ukweli nusu ni Sawa Sawa na uongo! Ile nusu hufichwa ili ku-deceive!
Ndiyo maana yake.

Definition ya half truth imeeleza hilo.

Tatizo Mnengene hajui maana ya half truth. Lugha za watu hizi tabu sana.

Anafikiri mimi kusema Magufuli kasema half truth, namtetea Magufuli.
 
Kwa kuwa huna akili nina kupuuza. Maana hujui kuwa urais ni taasisi wala sio mtu. Ngoja nikae kimya.
Naona akili zimekurudia baada ya kubisha sana kuuuma we,
Uraisi ni taasisi ambayo inaongozwa na Mtu ambaye ni anacheo cha Raisi.
ila Ukweli upo palepale Magufuli kadanganya kuhusu kwamba eti yeye Magufuli anawapenda sana wanakagera ndio maana alimteua Masilingi awe Balozi marekani na kwamba eti na pia anawapenda sana wanakagera na ndio maana atampangia kazi nyingine fisadi wa escrow pro pesa tibaijuka kwa hiyo wanakagera wampe kura yeye.
Nyie jamaa kweli akili zenu zimejaa mavi tupu
 
Ndiyo maana yake.

Definition ya half truth imeeleza hilo.

Tatizo Mnengene hajui maana ya half truth. Lugha za watu hizi tabu sana.

Anafikiri mimi kusema Magufuli kasema half truth, namtetea Magufuli.
Ni tatizo la watu wengi hapa, ukisema kinyume na imani zao au ukisema kitu ambacho hawajui, na wengi hawajui kusoma between the lines pia!
 
Hizo ndio sera za chadema?
 
Kwa upuuzi uliopost,ninakupuuza ,sawa?
Maana kama unajua ni taasisi kwa nini unakataa kuwa hiyo taasisi inaendele kumteua mtu andelee kuwa balozi. Kisa tu amebadilika kiongozi?
 
Kwa upuuzi uliopost,ninakupuuza ,sawa?
Maana kama unajua ni taasisi kwa nini unakataa kuwa hiyo taasisi inaendele kumteua mtu andelee kuwa balozi. Kisa tu amebadilika kiongozi?
wewe ni mpuudhi sana na unatetea kitu usichokifahamu,
Taasisi ya Uraisi ikiwa inaongozwa na Magufuli haikumteua Masilingi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Marekani
Magufuli kasema uongo aliposema kwamba yeye ndiye alimteua Masilingi kuwa Balozi Nchini Marekani
 
Tuombe uongo wake uwe unaishia tu kwenye haya mambo petty sababu mtu mwenye madaraka akiweza kudanganya vidogo hata akitwambia hii nchi bado ni yetu hatuwezi kujua kama bado ni kweli au hapana....
 
Anawadanganya wadanganyika wa lumumba na wao utakuta wanachekelea tu
 
Mkuu huu "utetezi" wako wazungu wanaita "Clutching at straws". Kwa maana pana ni kweli alifanya "uteuzi" kwa kuacha uteuzi uendelee; lakini ukiangalia context ya mkuu, ana-stretch ukweli.
 
Ukiteuliwa unatakiwa kukaa ktk kituo hicho kwa miaka mingapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…