Fact: NBC premier league ni ngumu zaidi kuliko kombe la shirikisho

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kwa utafiti niliyoufanya Kwa miaka miwili kwenye soka nimegundua mambo mengi kuhusu ugumu wa michuano hii ligi ya NBC premier vs CAF confederation league ( kombe la wamama

Zifuatazo ni tofauti za ugumu wa mashindano haya

1. Ufungaji - kibu kule confederation ni tegemezi Kwa makolo .....lkn akija huku NBC ligi ....Leo ni siku ya 400 bila kuifunga hata offside goal....so hii inaonesha huku ni kigumu

2.Seriousness: CAF confederation inakosa umakini ...timu zimacheza kihohehahe Amna kukamiana ...lkn NBC premier huku najua every one understand what I'm talking about

Research topic ilikuwa
ASSESSMENT ON STIFFNESS BETWEEN NBC PREMIER LEAGUE AND CAF CONFEDERATION LEAGUE

1738651217012.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
1. Unakuwa bingwa NBCPL lakini unashindwa kuwa bingwa CAFCC... Sasa hoja yako inakuwa na maana gani?

2. CAFCC inashirikidha vilabu bora vilivyoshika nafasi ya chini kutoka kwa bingwa tu. Huku NBCPL inashirikisha mpaka wavuna asali,Wagosi, Wanankulukumbi, waoka mikate, Wanapaluhengo, Macrusher nk

3.Marefa wanaochezedha CAFCC ni bora kuliko uchafu wa NBCPL

4. Gharama

5.

6.

Muda mwingine Watanzania hasa ninyi Gongowazi mjitahidi muwe serious na maisha
 
Kuna kitu inaitwa...." Other factors remain constant.....so Kuna mapungufu kidg huwepo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa utafiti niliyoufanya Kwa miaka miwili kwenye soka nimegundua mambo mengi kuhusu ugumu wa michuano hii ligi ya NBC premier vs CAF confederation league ( kombe la wamama

Zifuatazo ni tofauti za ugumu wa mashindano haya

1. Ufungaji - kibu kule confederation ni tegemezi Kwa makolo .....lkn akija huku NBC ligi ....Leo ni siku ya 400 bila kuifunga hata offside goal....so hii inaonesha huku ni kigumu

2.Seriousness: CAF confederation inakosa umakini ...timu zimacheza kihohehahe Amna kukamiana ...lkn NBC premier huku najua every one understand what I'm talking about

Research topic ilikuwa
ASSESSMENT ON STIFFNESS BETWEEN NBC PREMIER LEAGUE AND CAF CONFEDERATION LEAGUE

View attachment 3225785

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Lazima nbc iwe ngumu!
 
Attachments

  • 20241229_070802.jpg
    20241229_070802.jpg
    100 KB · Views: 2
  • 20241225_065945.jpg
    20241225_065945.jpg
    116.7 KB · Views: 2
  • 20240521_060257.jpg
    20240521_060257.jpg
    10.6 KB · Views: 2
1. Unakuwa bingwa NBCPL lakini unashindwa kuwa bingwa CAFCC... Sasa hoja yako inakuwa na maana gani?

2. CAFCC inashirikidha vilabu bora vilivyoshika nafasi ya chini kutoka kwa bingwa tu. Huku NBCPL inashirikisha mpaka wavuna asali,Wagosi, Wanankulukumbi, waoka mikate, Wanapaluhengo, Macrusher nk

3.Marefa wanaochezedha CAFCC ni bora kuliko uchafu wa NBCPL

Yanga ilipocheza fainali ya CAFCC ziliibuka hoja nyingi sana kutoka kwa nyie nyie Simba kwamba vilabu vilivyopo shirikisho ni dhaifu tofauti na klabu bingwa.

2) kusema kuwa CAFCC inashiriki vilabu bora vilivyoshika nafasi ya chini kutoka kwa bingwa tu sio kweli labda hujui taratibu za kushiriki CAFCC ni zipi. CAFCC imeanxishwa maalumu kwaajili ya washindi wa kombe la FA hivyo kuna baadhi ya nchi hutoa mwakilishi wa CAFCC kwa kupeleka bingwa wa kombe la FA na runner up wake kama wana hadhi ya kutoa timu mbili CAFCC. Taaribu hizo zinaweza kuvunjuka tu endapo bingwa wa FA akiwa ndio bingwa wa ligi kuu pia. Na zipo mataifa mengine ndio hutumia utaratibu wa anayeshika nafasi ya pili au ya tatu kwenda kombe la CAFCC
 
Back
Top Bottom