Fact: NBC premier league ni ngumu zaidi kuliko kombe la shirikisho

Fact: NBC premier league ni ngumu zaidi kuliko kombe la shirikisho

Unajisahau kuwa timu zinapigania nafasi ya kucheza huko ikiwemo na hiyo utopolo unayojivunia. Ujinga kweli mzigo
 
Kwa utafiti niliyoufanya Kwa miaka miwili kwenye soka nimegundua mambo mengi kuhusu ugumu wa michuano hii ligi ya NBC premier vs CAF confederation league ( kombe la wamama

Zifuatazo ni tofauti za ugumu wa mashindano haya

1. Ufungaji - kibu kule confederation ni tegemezi Kwa makolo .....lkn akija huku NBC ligi ....Leo ni siku ya 400 bila kuifunga hata offside goal....so hii inaonesha huku ni kigumu

2.Seriousness: CAF confederation inakosa umakini ...timu zimacheza kihohehahe Amna kukamiana ...lkn NBC premier huku najua every one understand what I'm talking about

Research topic ilikuwa
ASSESSMENT ON STIFFNESS BETWEEN NBC PREMIER LEAGUE AND CAF CONFEDERATION LEAGUE

View attachment 3225785

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kamdomo
 
Kama Shirikisho ni kombe la wamama basi Yanga ndio mama mkubwa maana amefika hadi fainali na anaringia vidani alivyopewa badala ya kombe
 
Enzi hizo Yanga anafika final kulikuwa na ushindan mkubwa Sana ..... compared to now

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ushindani kutoka kwa timu kama Rivers United iliyopotea kwenye ramani mwaka uliofuata au Marumo iliyoshuka daraja ? all in all Yanga ndiye mama mkubwa na alipewa vidani na anaringa navyo
 
Ushindani kutoka kwa timu kama Rivers United iliyopotea kwenye ramani mwaka uliofuata au Marumo iliyoshuka daraja ? all in all Yanga ndiye mama mkubwa na alipewa vidani na anaringa navyo
Pia angalia mpira mkubwa ....ulivyokua unapigwa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Huko shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama wanashinda tu
 
Back
Top Bottom