Fact: NBC premier league ni ngumu zaidi kuliko kombe la shirikisho

Hapa Tate Mkuu meno nje kama nguchiro akifurahia uchambuzi wa gongowazi mwenazie Labani og ..... Bado chura mmoja anaitwa ngara23 yule mkimbizi kutoka Burundi atakuja hapa kuchekelea kama ngiri..... Kuna huyu bibi princess ariana naye hapa ataagiza ugoro kabisa Kwa kuwa wanashauriana utopolo.
Tatizo una ID nyingi
Nitajibu ID zako ngapi?
 
Kwa utafiti niliyoufanya Kwa miaka miwili kwenye soka nimegundua mambo mengi kuhusu ugumu wa michuano hii ligi ya NBC premier vs CAF confederation league ( kombe la wamama

Zifuatazo ni tofauti za ugumu wa mashindano haya

1. Ufungaji - kibu kule confederation ni tegemezi Kwa makolo .....lkn akija huku NBC ligi ....Leo ni siku ya 400 bila kuifunga hata offside goal....so hii inaonesha huku ni kigumu

2.Seriousness: CAF confederation inakosa umakini ...timu zimacheza kihohehahe Amna kukamiana ...lkn NBC premier huku najua every one understand what I'm talking about

Research topic ilikuwa
ASSESSMENT ON STIFFNESS BETWEEN NBC PREMIER LEAGUE AND CAF CONFEDERATION LEAGUE

View attachment 3225785

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Baada ya kutupwa nje CAF mmekuja na kioja?. Basi bingwa wa Shirikisho ndiye acheze NBC
 
🤣
 
Attachments

  • markup_1000097575.png
    markup_1000097575.png
    1.3 MB · Views: 1
Kwa utafiti niliyoufanya Kwa miaka miwili kwenye soka nimegundua mambo mengi kuhusu ugumu wa michuano hii ligi ya NBC premier vs CAF confederation league ( kombe la wamama

Zifuatazo ni tofauti za ugumu wa mashindano haya

1. Ufungaji - kibu kule confederation ni tegemezi Kwa makolo .....lkn akija huku NBC ligi ....Leo ni siku ya 400 bila kuifunga hata offside goal....so hii inaonesha huku ni kigumu

2.Seriousness: CAF confederation inakosa umakini ...timu zimacheza kihohehahe Amna kukamiana ...lkn NBC premier huku najua every one understand what I'm talking about

Research topic ilikuwa
ASSESSMENT ON STIFFNESS BETWEEN NBC PREMIER LEAGUE AND CAF CONFEDERATION LEAGUE

View attachment 3225785

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Siku 400??. Dah
 
Uto..chalii.jpg
 
Weka grafu ya kuonyesha urahisi na ugumu wa ligi hizo
 
Back
Top Bottom