Fact: Wanawake wengi wanashindwa kulijibu hili swali rahisi

Hiyo ni jamii flani labda huko ulaya lakini siyo Kwa jamii Kama yetu! Huku kwetu mbona wanatuoa tu number wala wengi hawana hiyana kabisa! Kama wengine wanavaa Nguo za mitego za uchi kutoa namba Yake ya simu akatalie nini? Wengine yeye binti ndo kwanza anamuomba mwanaume namba ya simu Siku hizi! Kwa hiyo usichanyanganye jamii ! Wengi huwa tunazani wazungu ni Watu wakuchukulia mambo poa lakini Kumbe sivyo , Mzungu anaishi Kwa kanuni! Na akimpenda Mtu anamaanisha toka Moyoni na wanajali mno! Siyo sisi nazani tunahitaji kujifunza zaidi kuhusu kupenda na mapenzi! Na Mtu anapenda affection hawezi penda wengi Kwa wakati mmoja!
 
Wanawake wengine Siku hizi wao ndo wanawaanza kuwatongoza wanaume, yani wao ndo wanaomba namba za wanaume Kwa taarifa yako! Ndo maana wanaume wanatakiwa kujielewa vizuri sana Kama Yusuph! Cha ajabu wengi wanategwa na wananaswa sijui kwanini aisee ?! Sijui awereness haipo [emoji87][emoji87][emoji87]
 
Namba ya simu ni privacy ya mtu sio kila mtu anakuomba namba unatoa tu si utaonekana Malaya, nasisi wanaume tuna shida sana ukiomba namba binti akakupa kirahisi unamwita malaya asipokupa unasema anaringa.

Sent using Jamii Forums mobile app
4n # sio privacy rafiki,privacy nikiifahamu inamaana nimekufahamu kwa namna moja au nyingine partially au in deep, lakini kuifahamu 4n # yako aimaanish kwamba nakufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…