DMCT
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 2,276
- 5,937
umejibu vema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umejibu vema
Hutokea mara chache una bahat sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Waooooooh nimefurahi kumpata mtu ambae tuna same number
Yah kwa kweli😛😛😛Hutokea mara chache una bahat sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Japo umedanganya ila najua umeelewa swali0713 800 800
Sijadanganya hiyo ndo namba yangu😉😉😉😉Japo umedanganya ila najua umeelewa swali
rap beast
Mbona hupatikani?Sijadanganya hiyo ndo namba yangu😉😉😉😉
Mhhhumejibu vema
Na ni sura yangu real.....Mhhh
Hiyo profile yako kiboko
Hii ni ya tatu mzuka
4n # sio privacy rafiki,privacy nikiifahamu inamaana nimekufahamu kwa namna moja au nyingine partially au in deep, lakini kuifahamu 4n # yako aimaanish kwamba nakufahamuNamba ya simu ni privacy ya mtu sio kila mtu anakuomba namba unatoa tu si utaonekana Malaya, nasisi wanaume tuna shida sana ukiomba namba binti akakupa kirahisi unamwita malaya asipokupa unasema anaringa.
Sent using Jamii Forums mobile app