Fact: Wanawake wengi wanashindwa kulijibu hili swali rahisi

Mkuu nyuzi zako zinakuwa amazing sana, nakutunuku NYOTA kwa kuwaelimisha na kuwapa vijana maufundi mbalimbali.
Nikirudi kwenye swali ni kweli hilo swali linakuwa gumu kujibu haraka kwa mtoto wa kike.
 
0766 345678
0716 345678
0788 345678
Ushindwe wewe tu


Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
 
Iyo yako kweli maaana Jana nimebet nikapga kilo 3 nataka nikutumie ya lotion
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hivi hamuogopagi kubet kweli duh

invest what you are willing to loose
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hivi hamuogopagi kubet kweli duh

invest what you are willing to loose
Jibu swali basi direct ni yako namba?
Siwezi kuogopa kubeti sababu ni kazi Yangu
 
wanaume bongo mtahangaika sn ila ss...narudi...sisi...we are weak.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…