Fact: Wanawake wengi wanashindwa kulijibu hili swali rahisi

Kila weekend napiga million 2+ kubeti mtaji ukiwanao hutokufa masikini
Fanya uje PM nikuelekeze upate mkwanja
Mmmh, hapana
Njia niitumiayo inanitosha

invest what you are willing to loose
 
Mmmh, hapana
Njia niitumiayo inanitosha

invest what you are willing to loose
Uoga wako utakuponza inabidi uji risk mfano ukiweka mshahara wako wa mwezi unapega pesa ambayo ni mafao yako
 
Hapo sasa, sijui anataka namba akazihesabu
Ahesabu arudi basi.....kakaa anakusubiria Pm.
Kuna mmoja namsitiri, bingwa wa kulala na kuamkia kwenye Pm yangu.
Tunafunga mwaka sasa Ila hata kusema siku anipe pesa ya bando, kakausha tu.
Anasubiri wanaume wenzake waninunulie, ye aje kubutua Pm, sasa namsubiri kwa hamu.
Na si kwamba namba yangu hana, anayo.
Siku naenda kumnywea gongo na ganja....
Atatokea alipoingilia.
Labda aone hii comment yangu ndo ajishaue kutuma.
Mijanaume ya humu mibahili, au sijui kwa kuwa % kubwa wote ni Ben-10?
 
Sijawahi muona fisi akifuatwa na mbuzi, hata kama kashiba amwache mbuzi eti kisa ameshiba
 
Ha ha ha vi ben 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…