Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Mmmh, hapanaKila weekend napiga million 2+ kubeti mtaji ukiwanao hutokufa masikini
Fanya uje PM nikuelekeze upate mkwanja
Njia niitumiayo inanitosha
invest what you are willing to loose
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh, hapanaKila weekend napiga million 2+ kubeti mtaji ukiwanao hutokufa masikini
Fanya uje PM nikuelekeze upate mkwanja
Uoga wako utakuponza inabidi uji risk mfano ukiweka mshahara wako wa mwezi unapega pesa ambayo ni mafao yakoMmmh, hapana
Njia niitumiayo inanitosha
invest what you are willing to loose
0765790023[emoji3] [emoji3] toa namba mkuu.
brain is the beautiful part of the body.
Sema kwel0765790023
Hahahaa nilijua tu utakua wa kwanza kuidaka bado yule ndugu yakoSema kwel
Hahahahaaaa, Njoo pm kuna zawadi yako.Hahahaa nilijua tu utakua wa kwanza kuidaka bado yule ndugu yako
Haya tuma bas kabisa muamala apoHahahahaaaa, Njoo pm kuna zawadi yako.
Kiimani imekaaje ? KamariUoga wako utakuponza inabidi uji risk mfano ukiweka mshahara wako wa mwezi unapega pesa ambayo ni mafao yako
haswaUnauhakika na unacho-kinena?
Hii si customer care tigo, weka yako wewe0713 800 800
HahahaahaaHao ni wa enzi hizo,wasasahivi wanakutajia kiroho safi ila hivyo vizinga utakavyopigwa utajikuta unaifuta mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaahaaHao ni wa enzi hizo,wasasahivi wanakutajia kiroho safi ila hivyo vizinga utakavyopigwa utajikuta unaifuta mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahesabu arudi basi.....kakaa anakusubiria Pm.Hapo sasa, sijui anataka namba akazihesabu
Mtego gani sasaHuu ni mtego kama ilivyo mitego mingine
Ipige tenaMbona haipatikani
Makandila
Yaliyomo yapi?Mna mbinu nyie ila yaliyomo sasa..[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mchumba uje uniletee kula tunakokutanagaYaliyomo yapi?
Sijawahi muona fisi akifuatwa na mbuzi, hata kama kashiba amwache mbuzi eti kisa ameshibaWanawake wengine Siku hizi wao ndo wanawaanza kuwatongoza wanaume, yani wao ndo wanaomba namba za wanaume Kwa taarifa yako! Ndo maana wanaume wanatakiwa kujielewa vizuri sana Kama Yusuph! Cha ajabu wengi wanategwa na wananaswa sijui kwanini aisee ?! Sijui awereness haipo [emoji87][emoji87][emoji87]
Ha ha ha vi ben 10Ahesabu arudi basi.....kakaa anakusubiria Pm.
Kuna mmoja namsitiri, bingwa wa kulala na kuamkia kwenye Pm yangu.
Tunafunga mwaka sasa Ila hata kusema siku anipe pesa ya bando, kakausha tu.
Anasubiri wanaume wenzake waninunulie, ye aje kubutua Pm, sasa namsubiri kwa hamu.
Na si kwamba namba yangu hana, anayo.
Siku naenda kumnywea gongo na ganja....
Atatokea alipoingilia.
Labda aone hii comment yangu ndo ajishaue kutuma.
Mijanaume ya humu mibahili, au sijui kwa kuwa % kubwa wote ni Ben-10?
Ilovyonyepes nimeishika cku ile ileNapatikana mbona labda utakuwa umekosea namba moja😉