sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Basi kuna mshikaji wangu anatafuta demu kama vp njoo pm niwakutanishe muyajenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kuna mshikaji wangu anatafuta demu kama vp njoo pm niwakutanishe muyajenge
HahahhahaHii ni ya tatu mzuka
Wala....piga.Umetoa namba ya bajaji sio? acha hizo
Mna mbinu nyie ila yaliyomo sasa..[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Waooooooh nimefurahi kumpata mtu ambae tuna same number
As long as ukipiga inapokelewa basi ni phone number.Ukaona bora utoe namba ya treni?
Hapo sasa, sijui anataka namba akazihesabuHahahhaha
Namba zenyewe tukiwapa hata sh mia hawarushi
Au unasema hebu nipe namba yako nikurushie vocha [emoji13] [emoji13] sasa unaomba kwa sauti kavu utapewa na nani?Ukitaka upewe namba unatanguliza hela ya vocha, halafu ndio unaomba namba...
Tena siku hizi wanasema binti akikupa namba umeshamalizaNamba ya simu ni privacy ya mtu sio kila mtu anakuomba namba unatoa tu si utaonekana Malaya, nasisi wanaume tuna shida sana ukiomba namba binti akakupa kirahisi unamwita malaya asipokupa unasema anaringa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo yako kweli maaana Jana nimebet nikapga kilo 3 nataka nikutumie ya lotion0652875520
invest what you are willing to loose
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Iyo yako kweli maaana Jana nimebet nikapga kilo 3 nataka nikutumie ya lotion
Hii ni namba ya simu au ni namba tunazosomeshwa na watu wa kazi tu.
Jibu swali basi direct ni yako namba?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hivi hamuogopagi kubet kweli duh
invest what you are willing to loose
Jiandae kufa maskiniJibu swali basi direct ni yako namba?
Siwezi kuogopa kubeti sababu ni kazi Yangu
Kila weekend napiga million 2+ kubeti mtaji ukiwanao hutokufa masikiniJiandae kufa maskini
invest what you are willing to loose