FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana


Tatizo hukunielewa ndugu.

Nimekuomba list ya scientific discoveries ambazo zilitoka kwenye bible na kuwa acknowledged directly kama mfano niliokupa wa Tesla acknowledgement to the Veda mpaka kuita kiini cha umeme ni title ya experiments zake Vedic terms. Sijui kama you get my point.

Tesla history ya kuwa raised in Christianity its true. Later he was not a Christian. Wengi wanakua na kuchagua imani yao binafsi.

Einstein alimaanisha Buddhism check long version of that speech. Was a Jewish and scientist who accepted Buddhism na kusema it fits 99% modern science.

Yes I do agree kuna Christian scientists. Thats normal kwa sababu its a personal choice. My concern is scientific discoveries from the bible are rare. Almost hakuna. And its because authors wa bible nao walicopy katika other spiritual readings before bible haijaandikwa. Kuna post niliwahi kuelezea 10 commandments zilitoka katika kitabu cha Maat Misri, Noah ilikuwa Sumerian myth, Ibrahim ni canaanite story, Eden story ni sumerian, Monotheism ni Vedic na Sumerian, Trinity ni Egyptian mythology, Christianity na Mysratas of Constantine religion and so many to list. Nothing new in the bible that is unknown to other religions. Na other religions zina deep knowledge ambayo bible followers mnashindwa kurelate kwa sababu most mnaona bible is perfect na hakuna haja ya kusoma kwingine.

Even Jesus alishafundisha Kashmir at age of 12 to 30, lakini hamjui hilo na hamjui kwanini hizo verse za biblia zilitolewa kusema ukweli kuwa alikuwa anafundisha India na alikuwa anaishi kwenye monastery kama mtawa. My point is hakuna kipya kwenye bible nje ya hizo mythologies. Na ndio maana ilibidi kuua wanasayansi kutokana na kuona science inawapinga na mnaogopa kukiri what is the truth.

Kukujuza zaidi, Jews sio wajinga kumkataa Yesu kuwa ni masihi. Nimesoma Judaism very well. Sio kwa sababu ni wajinga na wabishi. Ni kwa sababu masihi alikuwa na sifa fulani ambazo waliambiwa lazima awe nazo na kama hatatimiza hata sifa moja wana haki ya kureject. Yesu anaitwa Rabbi au mwalimu na sio Mungu wala masihi kwa sababu hakutimiza videzo vyote vya kuwa masihi.

Baadhi ya vigezo ni kuwa masihi sio Mungu ni mwanadamu kama wanadamu wengine 100% bila uungu, masihi atatoka katika ukoo wa David kwa upande wa baba (kwa mnaamini Yesu baba yake hakuwa baba mzazi). Na masihi ataunganisha koo 12 za Israeli, Na atajenga Third Temple juu ya Temple ya Solomon. Then hivyo ndivyo mojawapo kati ya vitu Yesu hakutimiza vingine aliahidi kutimiza akija mara nyingine. So, sio wajinga kutoamini. Wana haki na wanafuata rules na compatibility walizoelekezwa. Hawakuambiwa kuna kurudi mara mbili kutimiza kimoja baada ya kingine. Lakini sio kwamba Judaism haimkubali kabisa Yesu, ni Rabbi na anapewa heshima yake kama mwalimu mzuri.

Ndugu, nilikuwa nisome upadre. Ulipo wewe nimepitia na kutafuta zaidi ta nilivyokuwa napewa. Na mwisho nikaona bora kutoka na kujifunza mengi mwenyewe. Usione nakupinga bali nakupa ufahamu from the other side.
 

Tatizo lako ni moja. Unadanganya kuhamasisha. Hakuna scientific research iliyowahi kuwa acknowledged kuwa its from the bible na hakuna kitabu kingine kilichowahi kuzungumza hiyo knowledge iliyogunduliwa. None! Tafuta na ukinipatia na nikaona ushahidi kuwa hakuna somewhere hiyo elimu ipo I will agree with you.

Pili, kama wakristu walikuwa wanaua wanasayansi kwa ujinga ule ujinga uliisha au bado upo? Je kama mpaka leo kuna ujinga lakini hatuujui? Maana hata hapo kale hawakujua kuwa ni wajinga bali walitetea biblia mpaka kufikia kuua kikatili na kupigana mpaka vita.
 
Umeeleza mambo mengi mchanganyiko.

1;Haimaanishi kuwa hakuna uwezekano au kizuri nje ya bibilia. Point yangu ni kuwa nature (Product ya Biblical creation) is everywhere to believers and non believers. Kama wahindi nao waliona fursa kwenye nature na wakaja na philosophy zao ambazo jamaa alipokuja chicago Western scientist wakaona zina mashiko sio mbaya. Ila nikataka ujue pia hadi Tesla anaakutana na Huyo jamaa alikuwa amesha invent vitu vingi sana. Pili Kwa thread inavyojieleza Ndani ya Bibilia kuna Scientific information nyingi (Direct or indirect) ambazo kama zingefuatwa badi invensions nyingi zingekuwa miaka zaidi ya 2000 iliyopita. Nimekupa mfano wa jamaa aliyesoma zaburi8:8 tu na kuinvent sea routes.

2:Umeeleza Udhaifu wa Bibilia Amri kumi zimetoka Misri, Noah ilikuwa Sumerian myth,Ibrahimu, eden, trinity etc Hizi ni shutuma ambazo pamoja na kuwa sio kweli unapaswa uambatanishe na chanzo cha taarifa zako au weka link ya hiyo thread yako maana bibilia imeshambuliwa kutoka kila kona na kwa kila aina ya silaha uongo ukiwa ndio silaha kuu. Kuna ushahidi mwingi tu kuwa ukristo(followers of jesus no religious sect) nor RC ulikuwepo kabla ya Constantine.

3:Hiyo india ya yesu sio tu india hata china alikuwepo jamaa anajiita mdogo wake yesu wa damu na aliongoza vita iliyouwa watu wengi nadhani tangu dunia kuumbwa. Hayo unaweza kusema maana ili aende india unapaswa kujua alikuja kufanya nini duniani. Hayo hata mimi ninaweza kusema Yesu alikuwa dodoma. Ila kiukweli habari za yesu unazipata kwa wayahudi si kwa wahindi. Na wayahudi hawajafa wapo.

4:Waliomuelewa yesu walimuelewa, maana ametabiliwa kuanzia mwanzo hadi Malaki direct na indirect. Kama wayahudi walimkataa Mungu aliyekuwa anaongea nao uso kwa uso sio habari kumkataa masihi japo yeye aliwaambia. Ndio maana Nicodemu, Paulo,Stephano, Mathayo, Mama yake mwenyewe, Yohana na wengine maelfu wote pia walimuelewa sasa waache waendelee wanavyoona sawa lakini hao hao unaowatetea ndio wanakwambia Musa alikuwepo na Amri kumi alipewa mbele ya adhara na Mabu zao wameweka kumukumbu zao sawa wewe unaniambia ni mambo ya yaliyotolewa misri huoni kama unajichanganya. Ukitulia utaelewa kila kilichosemwa kuhusu masihi kilitokea na kunaushahidi direct au indirect.Unakoswa uhalali wa kutetea wayahudi huku ukipinga solid pillars zao za ambazo waliziona na kuzigusa.

5:Kusoma upadri au kuacha ni uamuzi wa mtu husika ili kutikiza kile anachohitaji maishani. Siwezi kuzungumza chochote juu ya maamuzi yako ila upadri wala vitabu vingine havina uhusiano na Bibilia (Collection of 66 good books). Ushauri unapochukua uamuzi wa kusoma vingi hata mimi najitahidi kuokotaokota lakini Bibia is the shure book that will have tangible inpact in your live. But choice is yours.
 
hujanielewa vizuri.

1: God------->Bible-------->Creation Scientists and Noble Human beings

2:God -------->Religion (Bible and bible only anything else should comply with biblical contents)----->Creation Scientists and noble Human beings

3:God-------->Religion (Bible, Tamaduni, Mapokeo, Mila,Maslahi binafsi, Makatazo, Vitisho)---------->Killing Scientists, Uninformed religious followers,
Kama kuna Dini au Ukristo wowote Duniani utauwa watu kwa misingi ya ambayo iko nje ya bibilia Hapa hatujadili hao watu maana sio maagizi ya Bibilia.

Hawa Creation scientists na wengine walioamini bibilia walifika hapo kwa sababu waliamini na waliambiwa na Bibilia kuwa, There is Order in the universe, There is Design, There is intelligence and realized in all the designs there are attributes that stimulate detailed study and experimenting them. With that mindset they were able to discover fantastic Discoveries. Waliobaki wengine kwa kujua au kutokujua List ya kwenye thread yangu hapo vyote vipo kwenye bibilia takatifu.


Mfano Wright brothers were creationists Studied God's design of Birds to offer a gift of aeroplane to the world. By the time G.Mendel(Creationists) akihangaika na Genetic make up of organisms which accounts for all physical appearance of Organism Darwin was in the Island near equador studying the physical appearance of organisms (output) which ended na conclution umetokana na samaki ambaye baadae akawa Sokwe then Wewe.
Kwa akili ya ndogo tu Bibilia sio kitu cha kuoverlook.
 

Sea routes zilikwepo even kabla ya Bible kuandikwa. And if its from Zaburi its recently sana compared na history iliyopo kuwa routes zilikwepo before that time.

Kucopy kwa mythology sio shtuma. Please you can search each story one by one na ukaona mwenyewe. I assure you, utakutana a lot of what I am saying. Read historic details za imani zilizopo duniani and compares to it

I can give you an example

Flood myth - Wikipedia

42 Principles Of God Maat 2000 Years Before Ten Commandments

Easter, Chris Mass, Sunda worship and others zipo clearly by lots of informations and archaeological datas.

Rejection of Pascal's Wager:Babylonian Origins of the Creation Myth

Chapter 1: A Twisted History (Adam and Eve, Cain and Abel)

"In “The Epic of Gilgamesh” — dated well over 1,000 years before Genesis — we read of a talking serpent suggesting immortality and of a man divinely created from soil who lived naked among the animals.

A temptress leads this man into sin, after which the two clothe themselves and are expelled from their garden paradise."

4. Yesu kufika India it is true. Na sio inasadikika au kudhaniwa bali ndio ukweli. Na miaka ambayo iliandikwa alifika kuanzia miaka ya 14 mpaka 30 ambapo aliondoka kurudi alipokuwa amezaliwa katika kufundisha na kupeleka ujumbe. I am not defending any point of view, I am telling who you might don't know because you don't search my brother. Why you think bible haijasema hiyo miaka ya yesu alikuwa anafanya nini na wapi? You think haikuwa na haja ya kusema? Hakukwepo na any interesting story? Kifo cha Yusuph na kuzaliwa kwa ndugu wa Yesu kutoka tumbo moja hawakuwa wa muhimu? Why other Gospels kama vile the Gospel of Maria and the Gospel of Thomas hazipo katika list ya gospel kuu? Who decided it? Ule mkutano uliofanyika around 300AD? Then why zifichwe? Na kama Gospel of Thoman ina detals na kuelezea Maisha ya Yesu India alipokuwa kijana, why waitoe? Kumbuka Thomas ndiye aliyetumwa kwenda India kupeleka Christianity mara ya kwanza. Toka kuanguka kwa Jerusalem mara ya pili na Roma invasion Jews walienda kuishi india mfano Kashmir na Wengine walikwepo mpaka Ethiopia. Kuna zaidi ya tribes 8 za Jews nchini India mfano "Cochin Jews" walikwepo tangu kipindi cha Utawala wa Solomon.

History of the Jews in India - Wikipedia

Pia Jews kumkataa Yesu sio kutokana na kutomuelewa. Hakutimiza ishara alizopaswa. Nimekupa mfano baba wa Yesu sio Yusuph kama Christians says therefore Masihi hawezi kuwa hana baba ambaye sio myahudu. Pia masihi sio Mungu.

Pia hata ukristu unafundisha kuwa Yesu atakuja mara ya pili kutimiza messianic mission. Inakubali hakutimiza zote bali atakuja kumalizia utimilisho. Well, I know that because thats what Catholics, JW, Orthodox teaches. Sifahamu madhehebu mengine.

The Messiah must be descended on his father's side from King David (see Genesis 49:10, Isaiah 11:1, Jeremiah 23:5, 33:17; Ezekiel 34:23-24). According to the Christian claim that Jesus was the product of a virgin birth, he had no father – and thus could not have possibly fulfilled the messianic requirement of being descended on his father's side from King David.

Biblical verses "referring" to Jesus are mistranslations. Jewish belief is based on national revelation.

What is the Messiah supposed to accomplish? One of the central themes of biblical prophecy is the promise of a future age of perfection characterized by universal peace and recognition of God. (Isaiah 2:1-4, 32:15-18, 60:15-18; Zephaniah 3:9; Hosea 2:20-22; Amos 9:13-15; Micah 4:1-4; Zechariah 8:23, 14:9; Jeremiah 31:33-34)

Build the Third Temple (Ezekiel 37:26-28).

Gather all Jews back to the Land of Israel (Isaiah 43:5-6).

Usher in an era of world peace, and end all hatred, oppression, suffering and disease. As it says: "Nation shall not lift up sword against nation, neither shall man learn war anymore." (Isaiah 2:4)

Spread universal knowledge of the God of Israel, which will unite humanity as one. As it says: "God will be King over all the world – on that day, God will be One and His Name will be One" (Zechariah 14:9).

Why Jews Don't Believe In Jesus

I think naomba niishie hapa. You can view what's ever you wish. Its your mind and you are the one to decide.

What I insist is to seek Knowledge, its the only light towards darkness of ignorance. Soma lots of sources, reads about bible, other books, history, science, other religions then check what is right, helpfully, logic na useful to follow.

Thanks for the debate.
 
Athante sana.
Umeandika vyema. Kuna mambo nitayatafiti na kufuatilia. Lakini Ninachojua kuna vitabu 14 vikiwemo hadi wamakabayo , Yusuph bin sira etc ambavyo vinaaminiwa na RC huko ulikovisoma na kukubia injiri na vinapingwa na kupingwa na waprotestanti wengi na jewish scholars wengi kwa facts, tena vingine Vinaeleza vitu vya ajabu kabisa ikiwemo kumponya mtu kwa kutumia Majini. Lakini ujue katika zama zote neno hili la Mungu limepata upinzani mkali ikiwepo watu kuchinjwa na kuuwawa kwa sababu ya kukataa vitu kama hivyo wakiwemo waaldensia waaminifu waliolificha neno wakati likitafutwa kila kona liaminiwe. Ninaamini Bibilia ni neno la Mungu na Mungu mwenyewe is responsible kwa ulinzi wake na hakuna mwanadamu atakefanikiwa kuchakachua. Na miongoni mwa reference ya Yesu Kufika India ni Hivyo vitabu ambavyo vilipingwa vikali na Deffenders of truth na kukumbatiwa na waliovileta.

Wayahudi kufika duniani kote hilo halipingiki hata vitabu vingi havikuandikiwa Israel kuna wengine walilandika wakiwa iraq. Kuhusu Masihi Alitabiliwa Kuwa atazaliwa na Bikra kila Myahudi anayejitambua alipaswa kusoma hayo kwenye isaya na jina lake litaitwa imannuel (Mungu sio Rabbi Pamoja na Wanadamu), na Chuo cha isaya sio siri maana kilikuwepo na kilisomwa hadi na yule Towashi Muethiopia.Ila na kushukuru kwa Changamoto nitajifunza mengi zaidi na Kushare na wewe Muda wowote ule.

Kuhusu X-MASS na EASTER - This is purely paganism and they are non-biblical hapo hatuwezi kupoteza Muda.

Kuhusu Kutoaminiwa na wayahudi nina emngi sana ya kusema na nukuu nyingi kuhusu hii kitu, unasemaje juu ya wayahudi waliomuamini maana kulikuwa na Makundi mawili na waliendelea kupambana kwa hoja karibu kila sehemu (Jews vs christian jews). Hapo labda unilink kwenye hiyo thread yako au zako zenye hizi changamoto maana hapa sio mahala pake.
Natanguliza shukrani.
 
"We account the Scriptures of God to be the most sublime philosophy. I find more sure marks of authenticity in the Bible than in any profane history whatever." - Isaac Newton
 
Hivi maandishi (historia) ndio kithibitisho cha ukweli?? Utamsikia mtu nends kasome uujue ukweli...??
 
How do chinnese, Africans , british, red indies evolved from adam and eve....??
 
In my opinion the base from which one can embark on the study of scriptures is faith; whereas, the solid foundation to the study of science is enquiry, experimentation and proof. If you apply the approach of the latter to study the former you shall indeed end in error and further ignorance.
 
Jews sio wajinga,,ila walifanywa wajinga ili itimie mipango ilio beyond science and any kind of normal imagination...ila tu jew ni watu walio katika plan wana advantage hata katika kutokuamini kwao.
 
Science ni minor things,,ni vitu ambavyo vinaimprove maisha ya binadamu kumsaidia kurahisisha maisha yake,,biblia imeeleza vitu vya muhimu kwa binadamu ili aweze kuishi maisha yajayo.Nitaendelea.
 
Science ni minor things,,ni vitu ambavyo vinaimprove maisha ya binadamu kumsaidia kurahisisha maisha yake,,biblia imeeleza vitu vya muhimu kwa binadamu ili aweze kuishi maisha yajayo.Nitaendelea.

So, kama science inaelezea vyema maisha yaliyopita kwa viumbe na dunia kwa kipindi kirefu na biblia story yake ya creation haina evidence na ipo katika kipindi kifupi kisichozidi 4000 BC tukubali wapi?

Je errors zilizopo kwenye biblia?
 
MSEZA MKULU mbona nilikuwa na imani na ww sana ndugu leo umeniangusha sana kurelatity Dini(Imani) na Science(proof) Kiuhalisia tungeamua kushikana bega kwa bega na dini dunia unayoiona sasa isingekuwepo kabisa Leo kuna operations nyingi mahospitalini, Bado ktk field za astronomy na cosmologist lazima kuvua vazi la dini ndio mfanye research dini imeweka mipaka sana tafuta jamii ambayo iko blind sana na dini angalia maendeleo yao mfano mzuri ni hapa Tanzania kwetu mikoa ya pwani hali zikoje?
 
Mawazo mazuri, Katika enquiry,experimentation and proof hapo juu ni baadhi ya vitu ambayo yilitamkwa wenda direct au indirect lakini vingi vikafikia hitimisho na kile kilichotamkwa miaka zaidi ya 3000 iliyopita.Pia sio wanasayansi wote wanaunga mkono mawazo ya uibukaji na kuipinga dunia. Kuna wanasayansi wengi sana waliokuwa inspired na biblical facts kusearch and ask nature and came up with wonderful findings.
 
Science ni minor things,,ni vitu ambavyo vinaimprove maisha ya binadamu kumsaidia kurahisisha maisha yake,,biblia imeeleza vitu vya muhimu kwa binadamu ili aweze kuishi maisha yajayo.Nitaendelea.
Science is very minor kwa sababu Bibilia inapasua anga beyond science.
Science is finite and limited, Biblical facts are infinite and eternal.

Pia kuna creation scientists wanaoappreciate kazi ya Mungu na kuitumia bibilia kama manual ya findings zao. Hapa ondoa kundi la evolutionists na Ethiests scientists wanaofanya juu chini kuprove worng biblical facts japo wakati mwingi huwa wanakwama na wenda kuficha ukweli au kubaki wakiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…