MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
- Thread starter
- #181
Nakupata Mkuu.MSEZA MKULU mbona nilikuwa na imani na ww sana ndugu leo umeniangusha sana kurelatity Dini(Imani) na Science(proof) Kiuhalisia tungeamua kushikana bega kwa bega na dini dunia unayoiona sasa isingekuwepo kabisa Leo kuna operations nyingi mahospitalini, Bado ktk field za astronomy na cosmologist lazima kuvua vazi la dini ndio mfanye research dini imeweka mipaka sana tafuta jamii ambayo iko blind sana na dini angalia maendeleo yao mfano mzuri ni hapa Tanzania kwetu mikoa ya pwani hali zikoje?
nimekuwa specific zaidi ya facts 101 ndani ya bibia ambazo zimeelezwa dirct au indirct lakini most of them are scientifically accurate.Most of ancient scientists walisukumwa kufanya hayo waliyofanya kutokana na kuamini ukweli kwamba The universe and not only Eath has been designed and finetuned to support its existence na sio kuibuka. Kuna walioamini kuwa Mungu maswali mengi ya uwepo na Mungu yanajibiwa na universe na nature. Mfano ni corpenicus,Galileo,Newton, Marconi etc. Kile kinachotokea kwa kujua au kutokujua kimewahi kuzungumziwa, my assumption kama kingesomwa au kujaliwa na watu wa zamani tungekuwa mbali tangu miaka ya nyuma sana. Tatizo dini zimetumiwa na watu kublind wanadamu wenzao.
Mabadiliko ya kweli yalitokea Ulaya na wengi waliokuwa wanachunguza bibilia kwa mtazamo huo walionekana kama wazushi na wanaohatarisha usalama wa taasisi za kidini/ Lakini wengine kama Mendel (founder of genetics) alikuwa kasisi.
Astronomy na Cosmplogy waanzilishi wakina galileo walikuwa inspired by bible and they were creationists.
I give infinite thanks to God, who has been pleased to make me the first observer of marvelous things. Galileo Galilei