FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana

MSEZA MKULU mbona nilikuwa na imani na ww sana ndugu leo umeniangusha sana kurelatity Dini(Imani) na Science(proof) Kiuhalisia tungeamua kushikana bega kwa bega na dini dunia unayoiona sasa isingekuwepo kabisa Leo kuna operations nyingi mahospitalini, Bado ktk field za astronomy na cosmologist lazima kuvua vazi la dini ndio mfanye research dini imeweka mipaka sana tafuta jamii ambayo iko blind sana na dini angalia maendeleo yao mfano mzuri ni hapa Tanzania kwetu mikoa ya pwani hali zikoje?
Nakupata Mkuu.
nimekuwa specific zaidi ya facts 101 ndani ya bibia ambazo zimeelezwa dirct au indirct lakini most of them are scientifically accurate.Most of ancient scientists walisukumwa kufanya hayo waliyofanya kutokana na kuamini ukweli kwamba The universe and not only Eath has been designed and finetuned to support its existence na sio kuibuka. Kuna walioamini kuwa Mungu maswali mengi ya uwepo na Mungu yanajibiwa na universe na nature. Mfano ni corpenicus,Galileo,Newton, Marconi etc. Kile kinachotokea kwa kujua au kutokujua kimewahi kuzungumziwa, my assumption kama kingesomwa au kujaliwa na watu wa zamani tungekuwa mbali tangu miaka ya nyuma sana. Tatizo dini zimetumiwa na watu kublind wanadamu wenzao.
Mabadiliko ya kweli yalitokea Ulaya na wengi waliokuwa wanachunguza bibilia kwa mtazamo huo walionekana kama wazushi na wanaohatarisha usalama wa taasisi za kidini/ Lakini wengine kama Mendel (founder of genetics) alikuwa kasisi.
Astronomy na Cosmplogy waanzilishi wakina galileo walikuwa inspired by bible and they were creationists.

I give infinite thanks to God, who has been pleased to make me the first observer of marvelous things. Galileo Galilei
 
FLAT EARTH SOCIETY HAWAKATAI KWAMBA DUNIA NI DUARA, RUDI UKAWASOME VIZURI, HIYO KAMA MEZA NI YA KWAKO. LABDA HAUJUI TUU KATI YA MPIRA(GOZI) NA SAHANI KIPI NI CHA DUARA? FLAT WANAYOISEMA NI KAMA DISK NA SIO MEZA.

5:ASTRONOMY/UNAJIMU
Isaya40:22 Dunia ni Duara. Yaani hili suala linasumbua watu kibao hadi kesho hadi humu JF. Na kuna wazushi wachache wakiongozwa na EVOLUTIONISTS JOHN DRAPER ANDREW DICSONWHITE waliingiza huu uongo zaidi miaka 1800. Na leo kuna chama duniani anakiongoza kinasambaza uongo dunia nzima kuiwa Dunia ni KAMA MEZA (Flat earth society).

World_topic_image_Satellite_image.jpg

Imeichukua dunia miaka kibao kujua siri iliyoandikwa kwenye mstari mmoja tu.
 
So, kama science inaelezea vyema maisha yaliyopita kwa viumbe na dunia kwa kipindi kirefu na biblia story yake ya creation haina evidence na ipo katika kipindi kifupi kisichozidi 4000 BC tukubali wapi?

Je errors zilizopo kwenye biblia?
Science haijaelezea vema maisha yaliyopita zaidi ya assumptions nyingi tu,,ila imeimpove maisha tunayoishi.Hii unakuonyesha binadamu ameplay part yake vizuri,,kwa sababu binadamu kapewa akili ya kudesign vitu mbalimbali vitakavyomsaidia kuboresha mazingira yake,,,lakini unapoongelea MUNGU unashift kutoka realm ya ubinadamu unaanza kuongelea realm mpya na ilio advanced zaidi.Mfano YESU anampaka kipofu tope kwenye macho then anamwambia kanawe kisimani,,na yule kipofu baada ya kunawa anaona hii haiendani na sayansi kamwe ni more than science..Hii ni kukuonyesha kwamba science ina limitation na pia kuna zaidi ya science unaposhift na kuangalia upande wa MUNGU.
 
FLAT EARTH SOCIETY HAWAKATAI KWAMBA DUNIA NI DUARA, RUDI UKAWASOME VIZURI, HIYO KAMA MEZA NI YA KWAKO. LABDA HAUJUI TUU KATI YA MPIRA(GOZI) NA SAHANI KIPI NI CHA DUARA? FLAT WANAYOISEMA NI KAMA DISK NA SIO MEZA.

5:ASTRONOMY/UNAJIMU
Isaya40:22 Dunia ni Duara. Yaani hili suala linasumbua watu kibao hadi kesho hadi humu JF. Na kuna wazushi wachache wakiongozwa na EVOLUTIONISTS JOHN DRAPER ANDREW DICSONWHITE waliingiza huu uongo zaidi miaka 1800. Na leo kuna chama duniani anakiongoza kinasambaza uongo dunia nzima kuiwa Dunia ni KAMA MEZA (Flat earth society).

World_topic_image_Satellite_image.jpg

Imeichukua dunia miaka kibao kujua siri iliyoandikwa kwenye mstari mmoja tu.
Duara namaanisha Tufe/Grobe. na ninaposema wanasema flat kama meza namaanisha meza ya duara.
images

Imaesimama juu ya nini wanajua wao. Chanzo cha uongo huu maana ulikuwepo kwa wapagani ukaibuliwa tena upya na unazidi kutapakaa, na hakuna sayansi kwenye hii kitu. Ilikuwa ni kuonyesha upinzani wa ukweli wa uduara wa bibilia tunaousoma.
 
Kwa muda wako, jaribu kumtafuta pagani ni mtu gani.?

Na kwa kupitia hyo bible, siku ya pili ya uumbaji wa mungu, inasapoti hoja ya dunia ni flat.
 
Sawa, pia siku ya pili Mungu aliumba atmosphere akaibalance vizuri na acceleration due to gravity 9.8 na constants nyingine nyingi ili kama uko below critical velocity katika layer ya chini ionosphere au stratosphere sikumbuki oxygen na mahitaji ya muhimu ya mwanadamu yapatikane ikiwemo oxygen. Hakuna uhusiano wowote na uflat unataka kuuleta. God's word is scientically accurate when it comes to the shape of earth.
 
MWANZO: 6-8
6 Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji.
7 Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo.
8 Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.

MPAKA HAPO, tunathibitishiwa kuna anga katikati ya maji na maji, yaani una li mpira kuubwa lililojazwa maji then unayagawa chini na juu ili katikati kuwe na nafasi, ambayao Mwenyezi Mungu aliifanya iwe ndio Anga, na kuipa jina "Mbingu" yaani MBINGUNI au unisahihishe kama si hivyo....

TUKIENDELEA NA MSTARI WA 9-10
9 Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.
10 Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

Sasa basi kama mwanzo maji yaligawanishwa chini na juu, basi bila kupoteza ukweli ni lazima Yale maji ya chini yalitafuta level yake na ina maanisha yalikuwa katika flat level.
mstari wa 9 kama unavyojieleza, ardhi ilipatikana baada ya hayo maji kuamrisha yajitenge, je hiyo ardhi haikuwa FLAT utoka katika maji yaliyojitenga? Chukulia kwa mfano, unaimwagilia sakafu iliyotoka kujengwa, maji yanapoanza kukauka huwa hayakauki kwa pamoja hata kama mwanzo yalienea eneo lote, so pale palipokauka ndio pawe nchi kavu na palipo na maji pawe ndio bahari.
maji yakaitwa bahari na pakavu pakaitwa nchi, ambapo Ndipo sisi viumbe wake tunaishi yaani mimi na wewe.

je kwa maandiko hayo, tunaishi katika eneo flat au juu ya mviringo?
basi kama wahubirio dunia ni tambarare wanapingana na BIBLIA nijuze, wanapingana na andiko lipi linaloielezea dunia kuwa ni Mviringo?
 
Naona unamuwekea Mungu mipaka ya kazi zake ili angalau zikidhi unachoamini. Kuwa Duara au globe kwa sababu iko finetuned with constants zenye accuracy za Hali ya juu hayo vyote yanawezekana. Anaposema anaketi juu ya Duara ya dunia? Hapo ayubu pia Akasisitiza Duara hii inaelea? Ilikupasa uende deep kidogo kutafiti hii Duara ni circular au global. Hapa ndipo unapata scientifically accuracy za ukweli kwamba haikumaanisha hiyo flat unayoitetea. Galileo aliinvestigate nature akiwa anaprimitive astronomical tools akagundua hilo. Leo NASA na watu wa anga duniani Kote wanathibitisha hicho alichokisema Mungu kupitia Isaya. Flat yako is impractical
 
Sasa unapinga nini na unasapoti nini, kwahyo mimi ndio namuwekea mipaka, ila sio wewe?
Nimekupa mistari cha muhim ipinge kwa kunipa mingine inayopingana na hyo, nami sijasema ndivyo hvyo ila kwa uelewa rahisi hoja ndio hyo.
Sasa hyo mistri ya kuingia deep kidogo kw nini usinipe hapa hapa ili na wanaotusoma wafaidike.

Turudi kwenye mada, sayansi ili iwe sayansi kuna udadisi, na utafiti ndani yake ambao unatokana na kujulishwa uwepo wa kitu au ufanyaji kazi wake.

Hvyo, kusema sayansi ilishakuwepo kabla ya madarasa, ni sawa maana hata tukisoma habari za Safina, pale karibia sayansi na matawi yake yote iitumika.

Kinachoendele ni wanasayansi kuprove tuu maandiko ya kihisforia na theory zake.
 
Deep namaanisha uende kutafuta ushahidi kwa waliofanya utafiti wa kisayNsi juu ya hii dunia. Unaweza kupitia articles za wanajimu na wanasayansi mbalimbali wanavyothibitisha ugrobe wa dunia hivyo kuthibitidha fungu lililo kwenye thread hapo juu kuwa Mungu yupo juu kabisa mbali na Duara ya dunia Isaya 40:22. Pili duara hii inaelea kama alivyosema Mungu mwenyewe ayubu 26:7.

Mengine yote nakubaliana na wewe mkuu.
 
Dini na sayansi wapi na wapi, hivi nyie watu wa dini mtaacha lini kuchanganyia mambo,
dini si sayansi, wala sayansi si dini
 
They don't meet at infinity.
There are several points of intersections between Religion and Science.
Tatizo kumezuka watu wenye maslahi binafsi kwenye sayansi kuitumia kama chombo cha kupinga dini. Miaka mingi iliyopita dini ilikuwa ndio kichocheo cha sayansi, SIo Ukristo wala uhindi wala uislamu.
 
hakuna cha maslahi ni ukweli kwa sababu dini zinafundisha watu kutohoji mambo yao kwa kisngizio cha kumpinga Mungu,lkn sayansi unaruhusiwa kuhoji na kupatiwa majibu yako, wanadini wanafundisha watu kuwa dunia ni mali ya shetani na vyote vilivyomo, wanasema tuuhesabu utajiri wa dunia sawa na mavi, wanadai watu wasithamini utajiri uliopo duniani ni chukizo kwa Mungu, mafundisho km haya yana maana gani?
 
Hakuna kitabu km biblia hata ikikanwa kiasi gani na hata km mta kuja na vitabu vyenu mfukoni bado ukweli utabaki palepale milele zote. Na tumaini la dunia liko juu yake
 
we mtu unashangaza sana hivi wajua bibilia imeandikwa lini? na imeandikwa na nani
waonekana elimu kwako bado wasumbuliwa na ujinga tu,
nakwambia hivi dini, wapiga ramli na wachawi ni kitu kimoja
siku zote dini hushughulika na maendeleo ya watu wafu bali sayansi hushughulika na maendeleo ya watu walio hai
maendeleo yoooote unoyaona hayatokani na dini isipokuwa yanatokana na sayansi
 
Sawa nakupata mkuu ila kauli kama hizi ni za watu walioanzia kwenye dini na wakawafrustruted vita vyao wakaviamishia kwenye bibilia.

Mpaka sasa sijaelewa unaandika nini kulingana na content ya thread. Tulia unaweza kuwa unapoint lakini inaafifishwa na pre-programmed negativity dhidi ya bibilia.

Kama uko tayari kujadili kwa hoja na facts anza kupinga kutokana na vilivyoandikwa.
Kwenye bibilia kuna scientific facts zaidi 100.

unaposema dini ni za wafu unafeli sana mkuu. Maana ili upate uhalali wa kuanza kujadiliana upitie mijadala kuanzia page ya kwanza hadi hapa ulipoanzia kucomment.
 
hakuna cha maslahi ni ukweli kwa sababu dini zinafundisha watu kutohoji mambo yao kwa kisngizio cha kumpinga Mungu,lkn sayansi unaruhusiwa kuhoji na kupatiwa majibu yako, wanadini wanafundisha watu kuwa dunia ni mali ya shetani na vyote vilivyomo, wanasema tuuhesabu utajiri wa dunia sawa na mavi, wanadai watu wasithamini utajiri uliopo duniani ni chukizo kwa Mungu, mafundisho km haya yana maana gani?
Inaonekana umekutana na wanadini wasioelewa tunachokijadili wakakupotosha ukapotoka.
Sio bibilia inayojadiliwa hapa. Hapa sio kutafuta waumini bali ni biblical evidence kuonyesha kuwa bibilia ni scientifically accurate. na hujazungumzia hata kipengele kimoja
 
hizi ni simulizi tu za watu wenye hekima, wakati taifa la iziraeli walipoingia kwenye matatizo watu wenye hekima wakaandika maandiko hayo kuwapa mwongozo wa jinsi kuvumilia na kuondokana na matatizo

Ayubu alikuwa anaishi mji wa UZI muji ambao haujapa kuwapo tangu dunia ianze kuwapo, jaribu kuangalia ramani zote za kibibilia za zamani hakuna mji km huo.

Umemzunguza MUHIBIRI wajua hicho kitabu kiliandikwa na nani? mbona humtaji mwandishi wake?

kwa maelezo yako yoooote uloeleza hapo juu naomba tuanze na asili ya binadamu

kwanza tambua kuwa bibilia hiyo iliandikwa kwa madhumuni ya ujenzi wa taifa la Iziraeli tu hivyo walikusanya mambo mema na mabaya wakayaita yote ni ya Mungu, na uandishi wa bibilia mambo mengi yametokana na simulizi za miungu ambazo zimekarabatiwa mfano unapoamini kwamba utatu wa Mungu, Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu, miungu hawa walikuwapo kabla ya Ibrahimu, cha ajabu wewe unaamini Miungu wa tatu wakati Ibrahimu unayedai kuwa ni baba yako wa imani alisema Mungu mmoja, imekuwaje wewe unaamini miungu wa tatu?, unasema Mungu wako ana mtoto mmoja ambae ni Yesu kwa upande wapili (Waisilamu) wanadai Mungu hazai kwakuwa hana mke,

science ni neno la kigiriki lenye maana ya maarifa, maana yake maarifa ni science na bibilia yako inasema hivi kumcha bwana ni chanjo cha maarifa yaani Science kwa maana nyingine Science inatokana na Mungu sio Dini.

kwa hiyo dini ni tegemeo la wajinga na wapumbavu, baali Mungu ni tegemeo la watu wenye busara, hekima na maarifa
pole yako unootegemea dini, Mungu hatafutwi kupitia dini anatafutwa kupitia maarifa ambayo ni Science

Sikatai kwa kila msaafu wa dini yapo mambo mazuri yanopaswa yazingatiwe, na mengine ni mambo yaliyopitwa na muda kwa bahati mbaya dini zinakazania mambo yaliyopitwa na wakati

Swali la kizushi, km leo Mungu angelipuliza kipenda na kutangaza kuwa amefuta adhabu ya kifo binadamu hatutokufa tena na kila kitu binadamu anachokihitaji atapata bila masharti yeyote, hivi kuna atae enda nyumba ya ibada kuomba? na km ataenda ataenda kuomba nini?

dini zilianzishwa na wanadamu kumshawishi Mungu awaondolee kifo, ndio sababu kila dini inastahili yake ya kumwendea Mungu, wengine hulia, wengine hupiga magoti, wengine husali uchi, lkn staili zote hizo zimeshindwa kumridhisha Mungu kuwaondelea wanadamu kifo, dini zilipoona kwamba wanadamu wanaendelea kufa wakaja na ushawishi mwingine kwa maana ya kwamba hata binadamu akifa ataenda mbinguni wataishi milele, simulizi ya maisha ya umilele huo zinatofautiana kati ya dini na dini wengine wanadai huko hakuna kula wala kunywa ni kusifu tu, wengine wanassema kule kuna vinywaji vitamu na kuhudumiwa na vimwana wazuri, je ukweli ni upi? nani aliyekwenda mbinguni na kurudi?
 
Back
Top Bottom