nadhani watu wengi wamekurupuka kuangalia nani yuko namba ngapi badala ya kusoma nini kimeandikwa katika kila jeshi interms of ukubwa wa askari,magari ya deraya,ndege za kivita na meli za mapigano.jeshi letu halijakuwa tested,kutoa askari kadhaa kwenda kupigana na kushinda katika mission siyo kigezo cha kuwa na jeshi imara.je nyumbani kwako una nini?hicho ndicho kinachoangaliwa na siyo ulikwenda kutembea wapi ukamshinda nani
Data za kijinga sana, Nigeria inangaishwa na book haramu
baseless research