Facts: 16 most powerful militaries in Africa

Facts: 16 most powerful militaries in Africa

I wonder which criteria was used to get those results if its based on financial capabilities l agree but if its military capabilities it wrong. Zimbabwe has North korean,Russian,Cuban and Chinese trained forces which are very deadly on the ground force ,Tanzania has Chinese and Russian trained forces which are well trained compared to South Sudan, DRC, South Africa ,and Angola.
 
nadhani watu wengi wamekurupuka kuangalia nani yuko namba ngapi badala ya kusoma nini kimeandikwa katika kila jeshi interms of ukubwa wa askari,magari ya deraya,ndege za kivita na meli za mapigano.jeshi letu halijakuwa tested,kutoa askari kadhaa kwenda kupigana na kushinda katika mission siyo kigezo cha kuwa na jeshi imara.je nyumbani kwako una nini?hicho ndicho kinachoangaliwa na siyo ulikwenda kutembea wapi ukamshinda nani

What do you mean unaposema jeshi letu halijakuwa tested?

Do you imply kwamba jeshi la Kenya limekuwa tested zaidi ya jeshi la Tanzania?
 
hapa tu ndipo ninapopatwa na shaka shaka na watu wa jf kwa sasa! kama kweli ni great thinkers ama lah hasha
 
You are kidding me big time....ooh we have adopted a Chinese way of hiding our potentials including the budget for defence. Otherwise ​we are better than some countries in the list both in numbers and capabilities proven by participation in wars.
 
hivi hawa uwa wanazingatia nini, Nigeria waliochapwa na Boko Haram mpaka wakakimbilia Cameroon, Congo waliochapwa na M23 mpaka S.A na jeshi la TZ likaenda kusaidia.
Sijawahi elewa uwa wanazingatia nini
 
Kenya kama walishidwa na vijana sita tu wa kisomali pale westgates wanaingiaje hapo?
 
Nguvu ya jeshi itapatikana kwenye uwanja wa mapambano na sio kwa vigezo uchwara vya kufikirika, kuhisi na kubuni!
kuna jeshi fulani lilitolewa kamasi na wapiganaji wasiozidi wanne ndani ya supermarket eti nalo ni jeshi lenye nguvu kuzidi Tanzania! ovyo kabisa!
 
Mbona mnashambulia chanzo cha habari bila kutoa facts?

Hapo hayo majeshi yamepangwa kwa wingi wa silaha na other millitary supplies. Vifaru,manowari na ndege za kivita!

Sasa kuwa na jeshi imara kimapigano haitegemeani na wingi wa silaha na vifaa vya kijeshi. Tujiulize sisi tuna vifaa kiasi gani kulinganisha na hao wengine

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Hiyo takwimu ya mwaka gani? aliyeanya utafiti ni nani? na ili iweje?.kuwa na dhana nyingi za kivita si alama kuwa wewe ni bora kivita maana kunawacheza soka huvaa jezi zkawapendeza sana lakini uwanjani hovyo hovyo uchezaji.kuwa na askari wengi siyo alama nyie ni bora sana kivita maana mnaweza pigwa pigo moja mkaisha wote au mkaleta uasi mfano somalia. sifa safi za kijeshi ni Nidhamu ya halli ya juu jeshi dogo lenye weledi mkubwa hivyo hata ukimtuma askari mmoja bila silaha anafanya kazi kama batliani moja ya kivita yenye kila aina ya silaha za kupigania.acheni ushabiki tz ni chuo cha kijeshi kinachotegemewa na makomandoo wengi Africa hivyo kila unaposikia Tanzania angalia viongozi wa east Africa cv zao utagundua bila jwtz hujawa kiongozi.
 
Mh! Hii tafiti hata mimi nabisha. Tumchomoe mcomoro yule bila hata kutupa risasi, tuwatandika hawa jamaa wa Kagame hapo DRC, tusaidie UN peace missions SouthSudan leo hii watupite waote hao. Mhh! Ngumu kumesa. Nchi yangu imeoza sawa lakini sio mpaka jeshi kiasi cha kupitwa na waganda, wakenya, south sudan, drc. Hata hao ethiopians sidhani, askari wenyewe wakiume wazuri tu utafikiri watoto wa kike.

Zimbabwe sikujua hata ina jeshi!
 
Back
Top Bottom