Facts: 16 most powerful militaries in Africa

Facts: 16 most powerful militaries in Africa

Tatizo ilo ni jeshi la ccm linajua kupigana na mwananchi tuu.cheki wenzenu nigeria,congo e.t.c kila siku wana misukosuko na magaidi..


Nigeria hamna kitu labda kama wanajumlisha na wanamgambo wa bokoharam.
 
Mtoa mada pengine sielewi maana ya "powerful armies".
Lakini kwa Nigeria inayobomondwa kula kukicha na Boko Haram , huku wenyewe wanakimbia mapigano!
Halafu DRC waliokuwa wakisumbuliwa kila siku na M23 wa Rwanda!

Hapo sasa sijui hizo " powers" zinatoka wapi.
 
M23 walishasema kuwa tpdf ni hatari kwakuwa ukiua kumi wanakuja wengine 200 lakini jeshi la South Africa ukiua wawili waliobaki wote wanakwea pipa na kurudi nyumbani.
 
fake research!!!! TPDF au JWTZ wanaijua hawa kweli lakini pia sishangai Tanzania ni vitendo tu....
 
Nivigumu siasa kuongoa mambo ya kitaalamu, hili hata wahenga walilinena, wakati wenzetu wakijenga mataifa yao kijeshi na kiulinzi yakawa imara na ya kisiasa zaidi, sisi tunaendelea kuonyeshana namna mwanajeshi anavyopasua tofari kwa kichwa, yani utafiki ni jeshi la enzi za akina Mkwawa.

Wakati wa miaka ya sitini mpaka miaka ya tisini, Tamzania ilikuwa ya kwanza barani Afrika kwakuwa na idara ya ujasusi imara ikifuatiwa na Zimbabwe, lakini leo Zimbabwe ni ya kwanza ikifuatiwa na Misri na Tanzania ni ya Tatu.

Hali kadhlika baada ya vita vya Uganda, Tanzania ilipanda kwenye viwango vya ubora na uimara wa kijeshi hasa sifa zikienda kwa kikosi cha ardhini kile kilichopambana na majeshi ya Nduli katika uwanda wenye maji ya kiuno kwa mda wa siku sita mfululizo mpaka kikashinda kikiongozwa na Brigedia Mwita Marwa ambae baada ya mapambano yale alibatizwa na kuitwa KAMBARE, jina hilo lilifuati uwezo wake wa kuzama mda mrefu majini huku akiji mapigo vikosi vya Nduli vilivyokuwa vimejichimbia mlimani katika mto Kagera,

Sifa hizi zilieneoa duniani kote na tafiti nyingi za mashirika ya kijasusi zikafanywa nakusema Tanzania ni nchi ya kwanza Barani Afrika kwakuwa na Jeshi imara la miguu,

Hivi sasa siasa zimeharibu sifa hizo na utafiti wa wakala wa usalam wa taifa wa Amerika umeweka takwimu hizi hapa mpya ambao Tanzania ni ya mwisho kati ya nchi 22 zilizofanyiwa utafiti.

ORODHA KAMILI.

1 Egypt

PwrIndx: 0.6122

2 Algeria

PwrIndx: 1.1698

3 Ethiopia

PwrIndx: 1.3229

4 South Africa

PwrIndx: 1.3467

5 Nigeria

PwrIndx: 1.5261

6 Kenya

PwrIndx: 1.7689

7 Morocco

PwrIndx: 1.8499

8 Tunisia

PwrIndx: 1.8635

9 Angola

PwrIndx: 2.2599

10 Libya

PwrIndx: 2.3353

11 Sudan

PwrIndx: 2.3465

12 Democratic Republic of the Congo

PwrIndx: 2.6642

13 Uganda

PwrIndx: 2.6895

14 South Sudan

PwrIndx: 2.7689

15 Ghana

PwrIndx: 2.9726

16 Zimbabwe

PwrIndx: 3.0955

17 Cameroon

PwrIndx: 3.3009

18 Zambia

PwrIndx: 3.5013

19 Somalia

PwrIndx: 3.5462

20 Mozambique

PwrIndx: 4.1026

21 Madagascar

PwrIndx: 4.2547

22 Tanzania

PwrIndx: 4.3423


For centuries, the African continent has been beset with fighting, political upheaval and oppression.

The GFP ranking makes use of over 40 factors to determine each nation's Power Index ("PwrIndx") score. From this score, the finalized ranking is generated. The factors are set within our algorithm which attempts to provide a fair canvas that allows smaller, yet technologically-advanced powers to compete with larger, lesser-developed ones. Additionally, various bonuses and penalties are added for final refinement.

In the end, we hope it presents an unbiased ranking and realistic outlook on the conventional military firepower and strength of a given country for a given year. At the very least, this list can be used to stir healthy debate amongst visitors to GFP. There are a total of 22 countries of the African Theater in the GFP database.

Partial Sources: CIA.gov, CIA World Factbook, wikipedia.com, public domain print and media sources and user contributions. Some values may be estimated when official sources are lacking.
Chanzo: Countries Ranked by Military Strength (2014)[/
 
hatuna silaha kabisa yaonekana
 
Hadi Al Shabab wanatuzidi wao wamechukua nafasi ya 19.
Mwamumyange rudisha jeshi kwa Wakurya, wanajeshi wako siku hizi wamezidi kuburuza vitambi!
 
Duh ngoja na walevijana wa ccm waje na yao ni majinga kweli kweli!
 
Hali kadhlika baada ya vita vya Uganda, Tanzania ilipanda kwenye viwango vya ubora na uimara wa kijeshi hasa sifa zikienda kwa kikosi cha ardhini kile kilichopambana na majeshi ya Nduli katika uwanda wenye maji ya kiuno kwa mda wa siku sita mfululizo mpaka kikashinda kikiongozwa na Brigedia Kiwelu ambae baada ya mapambano yale alibatizwa na kuitwa KAMBARE, jina hilo lilifuati uwezo wake wa kuzama mda mrefu majini huku akiji mapigo vikosi vya Nduli vilivyokuwa vimejichimbia mlimani katika mto Kagera,

Ni kosa kubwa tena ni dhambi isiyosameheka kwa wanahistoria kuandika habari za uwanda huo bila kuutaja jina lake!
 
Hongera Mugabe kwa kuwa na idara bora ya ujasusi, ndio maana wazungu hawakuyumbishi ovyo.
 
Back
Top Bottom