Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,058
- 1,609
Ni kweli unachosema na hii huitwa Ungulate migration, lakini pia ni ukweli usiopingika kuwa Tanzania (Serengeti NP) is the best place to observe Ungulate migration...!Ujinga wako upo hapo kwenye kusifia mbuga za wanyama halafu unaweka picha za nyumbu wengi as if wote hao wapo kwetu tu. Picha uliyotumia ni picha ya nyumbu wakiwa Serengeti. Kitu ambacho unaonekana hukijui ni life style ya hao wanyama. Ukweli ni kwamba hao wanyama ndani yake wapo wa Tanzania na pia wa Kenya.
Ukiona wamejaa hivyo ujue ni kipindi cha msimu wa mvua, na wao hukitumia kwa ajili ya kuzaliana. Eneo hilo ni pana sana kiasi kwamba ni eneo rafiki kwao. Inapofikia wakati huu, wanyama karibu wote walao nyasi huja eneo hili.
Hapa huzaliana na baada ya muda huanza safari ya kuelekea Kenya. Mzunguko unajirudia hivyo kwa kila mwaka.
Na mara zote walipo nyumbu na pundamilia wapo, kuna sababu zake.
Picha zako zinaonyesha wakati nyumbu wanahamia upande mwingine wa makazi yao na pia wakati ambao huwa upande mwingine wa makazi na kuzaliana.