Facts About Tanzania - East Africa You Did Not Know About

Facts About Tanzania - East Africa You Did Not Know About

Ujinga wako upo hapo kwenye kusifia mbuga za wanyama halafu unaweka picha za nyumbu wengi as if wote hao wapo kwetu tu. Picha uliyotumia ni picha ya nyumbu wakiwa Serengeti. Kitu ambacho unaonekana hukijui ni life style ya hao wanyama. Ukweli ni kwamba hao wanyama ndani yake wapo wa Tanzania na pia wa Kenya.
Ukiona wamejaa hivyo ujue ni kipindi cha msimu wa mvua, na wao hukitumia kwa ajili ya kuzaliana. Eneo hilo ni pana sana kiasi kwamba ni eneo rafiki kwao. Inapofikia wakati huu, wanyama karibu wote walao nyasi huja eneo hili.
Hapa huzaliana na baada ya muda huanza safari ya kuelekea Kenya. Mzunguko unajirudia hivyo kwa kila mwaka.
Na mara zote walipo nyumbu na pundamilia wapo, kuna sababu zake.
Picha zako zinaonyesha wakati nyumbu wanahamia upande mwingine wa makazi yao na pia wakati ambao huwa upande mwingine wa makazi na kuzaliana.
Ni kweli unachosema na hii huitwa Ungulate migration, lakini pia ni ukweli usiopingika kuwa Tanzania (Serengeti NP) is the best place to observe Ungulate migration...!
 
usijali br, jaribu kutembelea vijijini ili uone hali halisi ya ndugu zetu wa vijijini

halafu ukifuatilia mlolongo wa post zangu hakuna sehemu nimepinga watu kujitahidi kufanya kazi

ila napata mashaka na mtu ambae anakataa kuwa sisi ni nchi masikini hali ya kuwa ni jambo ambalo lipo wazi kabisa

point yangu kubwa ilikua nataka kugusia changamoto zinazopatikana katika kufikia hizi "fursa" mnazotuonyesha

wala sio kupindisha lengo la huu uzi

Nakuelewa. Shida ni unapotaja nchi. Nchi ni ardhi bro. Sio maskini. Kumbuka kuna walio jangwani wana mali kutuzidi.

Kuhusu changamoto zimeshatajwa sana ni basi tu watu wamekalia maisha yaleyale. Huku vijijini ndipo nafanyia kazi mkuu. Kuanzia Rukwa ruvuma mbeya iringa songwe njombe morogoro mwanza mara kagera shinyanga simiyu ukanda wote wa pwani kanda yote ya kaskazini tena deep huko vjjn singida dodoma tabora n.k. Naifahamu hii nchi sio kidogo. Na watu wake pia najitahidi niendelee kuwafahamu.

Tunafanya japo bado kuna uvivu wa hali ya juu. Hasa wa kutumia maarifa na ndo maana tunapiga maktaimu.

Ongezea hapo kuwa bado wengi elimu ni duni basi hata siasa tunarudia ujinga uleule kuchagua walioshindwa. Na awamu hii ndo dhirisho rasmi.
 
Cool!

U are showing off all these awesome stuff u guys are blessed with to us Kenyans (aint it obvious?), but if only u were ranked up there, in the league of the leading nations in Africa.
Why on earth is Tz still an LDC? Just asking.....
 
Lake Victoria is only in Tanzania, ni nini haujaelewa hapo? And we are 100% certain that L. Victoria is the source of the Nile.
Amesema River Nile originates from L. Victoria, which is in Tanzania. But River Nile originates from the Ugandan side of the lake, which makes that fact useless.
And Lake Victoria is in 3 countries Iconoclates, not in one, to correct you
 
98% ya maji ya ziwa victoria yanatoka Tanzania. Niambie mito gani huko kenya na Uganda yanaingiza maji kwenye ziwa victoria? Nyie mnatumia tu hamzalishi maji kwenye ziwa victoria. Ukitaka nitakutajia mito unayoingiza maji kwenye ziwa.
 
I was being cynical, also mocking her arguments.
 
98% ya maji ya ziwa victoria yanatoka Tanzania. Niambie mito gani huko kenya na Uganda yanaingiza maji kwenye ziwa victoria? Nyie mnatumia tu hamzalishi maji kwenye ziwa victoria. Ukitaka nitakutajia mito unayoingiza maji kwenye ziwa.
Hoja yangu si mito. Just stating what I thought was not correct. Mtu hajui anything about L. Victoria atakuwa misled. I do not see any relationship ya River Nile na Tanzania. L. Victoria iko in 3 countries and River Nile originates from Uganda
 
Naona unaumia sana. Hiyo ndiyo fact kwamba maji ya Ziwa victoria originated from Lake Tanganyika na mito kadhaa ndani ya Tanzania. Kwahiyo Source ya maji yote toka Ziwa victoria ni Tanzania. Usiumie sana wewe vuta pumzi tu unywe maji. Huwezi kuukwepa ukweli. By the way 3/4 ya ziwa lipo tanzania wakati kenya ni 1/10 ya ziwa. Mbona unaanza kupagawa mapemaaa!!?
 
Haya haya Sasa ninaanza kuwaletea facts kuhusu Tanzania. Tanzania nchi bora kabisa Africa Mashariki. Sasa nitakuwa nadondosha kimoja baada ya kingine na picha juu. Watani wetu wa jadi ruksa kutoa mapovu tutayafuta tu. Nitakuwa nachanganya Lugha yaani kiswahili na kingereza

Tanzania has the most expensive hardwood tree in the world; the Mpingo trees, also known as the African Blackwood trees.

Huu mti unaitwa mpingo, Ni noma unapatikana Tanzania pekee.
View attachment 480717 View attachment 480718

Swali la: kwanini tanzania ni masikini? Ni moja kati ya ajabu uliloliacha katika izo rekodi zako
 
Swali la: kwanini tanzania ni masikini? Ni moja kati ya ajabu uliloliacha katika izo rekodi zako
Wewe pekee yako na familia yako ni maskini. Sisi wengine tunaishi fresh. Tunakula na kunywa na kusaza.
Kabda kwa sababu ukoo wenu ni maboya ndiyo maana ni maskini. Mnapenda sana kula majungu.
Wazazi walikuwa wapiga majungu ndiyo maana sasa hivi watoto mnapiga miayo tu. Na wewe ukiendelea hivyo kizazi chako chote kitakuwa na laana hiyo hiyo. Mungu atakulaani mpaka kizazi cha saba. Unatakiwa ujirekebishe kabla muda haujakupita.
 
Nashindwa jinsi ya kukujibu kwa sababu naona kama hujielewi
 
yah what u r sayin is very true, ila kumbuka it's now 56 yrs since independence, but we are not progressing enough, how many yrs are enough for us to move on??
And its said we were better off than China when we got independence but today look at where we are economicaly and financialy n compare that with China!!
 
And its said we were better off than China when we got independence but today look at where we are economicaly and financialy n compare that with China!!
Proof please.
 
Back
Top Bottom