Facts! Foreign Players wa Simba wengi kawaida sana!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Tuambiane ukweli familia, asilimia kubwa ya vipaji tunavyoleta Simba hapa Tanzania ni aina ya vipaji ambavyo ukifanya proper scouting vipo hapa hapa ndani.

Nafasi ya goal keeper haihitaji foreign player, Onana, Saido, Luis, Baleke na Phiri wote ni average players tunadanganyana tu.

Ni vizuri tulete mtu ambaye ni kipaji kisichopatikana ndani! Kama tunataka nusu fainali tuingie hasara ya kuondoa wachezaji wengi wa kigeni tusajili watu wenye record na wataoingia kwenye kikosi direct.

Kama mfuko hauruhusu kununua wachezaji wa maana tuache kupotezea muda mashabiki na kumkausha koo Ahmed Ally! Tunaumiza makocha vichwa kwa vipaji very average na wachezaji wenyewe tunawalipa fedha nyingi.

Haya tumetolewa nishai na Mlandege yenye vipaji vingi local na bajeti ndogo! Tuache kuimbiana mapambio na kufukuza makocha! Viongozi wabadilike.

Kuitaja nusu fainali club bingwa kwa mikakati hii ni kutufanya watoto. Wachezaji wengi wa kigeni tumepigwa! Huyo kiungo mpya hamuwezi hata Aweso! Upumbavu tu!

Simbaaaa #nguvumoja[emoji109]
 
Barikiwa Kwa bandiko zuri na lililojaa ukaweli. Tatizo lingine linasababishwa na mapambio ya Ahmed Ally. Onana kweli wa kutakiwa ligi Kuu Ufaransa?
 
Hivi kama sio hujuma za wazi, hii timu baada ya kuondoka Lwanga imeshindwa vipi kusajili DM? Hawa viongozi wanasajili kiungo na kutudanganya kuwa amekuja kutibu tatizo la DM huku mchezaji mwenyewe uwanjani hana sifa yoyote ya kuwa DM.

Sasa kwa huyu si bora wangemchukua Aweso au Himidi mbongo mwenzetu? Kaingia Hamisi Abdalah kaubonda kuliko kiungo mpya. Nina hofu pengine management ina watu wa Uto na hatujashtuka! Unafanyika ujinga ule ule!
 
Wakuu,

Tuambiane ukweli familia, asilimia kubwa ya vipaji tunavyoleta Simba hapa Tanzania ni aina ya vipaji ambavyo ukifanya proper scouting vipo hapa hapa ndani.

Nafasi ya goal keeper haihitaji foreign player, Onana, Saido, Luis, Baleke na Phiri wote ni average players tunadanganyana tu.

Ni vizuri tulete mtu ambaye ni kipaji kisichopatikana ndani! Kama tunataka nusu fainali tuingie hasara ya kuondoa wachezaji wengi wa kigeni tusajili watu wenye record na wataoingia kwenye kikosi direct.

Kama mfuko hauruhusu kununua wachezaji wa maana tuache kupotezea muda mashabiki na kumkausha koo Ahmed Ally! Tunaumiza makocha vichwa kwa vipaji very average na wachezaji wenyewe tunawalipa fedha nyingi.

Haya tumetolewa nishai na Mlandege yenye vipaji vingi local na bajeti ndogo! Tuache kuimbiana mapambio na kufukuza makocha! Viongozi wabadilike.

Kuitaja nusu fainali club bingwa kwa mikakati hii ni kutufanya watoto. Wachezaji wengi wa kigeni tumepigwa! Huyo kiungo mpya hamuwezi hata Aweso! Upumbavu tu!

Simbaaaa #nguvumoja[emoji109]
Umesema kweli.Lakini tuna mashabiki wa hovyo ambao wanaungana na viongozi kusifu ujinga tu.
Simba ina watchezaji wengi wa kawaida sana ila wanaojisikia na kujikuta mastar wa dunia
 
Akina Onana nchi hii wapo wengi tena bora kuliko yeye. Lusajo anaweza kukupa kitu kuliko huyu Onana! Mimi nakomaa na mfano mdogo kwa huyu kiungo mpya si bora hata Aweso au Bajana?
 
Kagere alivyokuwa Simba wachezaji wa ndani waliona kabisa ni mtu tofauti. Sasa hivi hata timu ndogo haziogopi Simba kabisa! Sasa wamuogope nani? Onana, Baleke, Phiri?

Tumeishafeli na lawama always kwa kocha!
 
A
Wakuu,

Tuambiane ukweli familia, asilimia kubwa ya vipaji tunavyoleta Simba hapa Tanzania ni aina ya vipaji ambavyo ukifanya proper scouting vipo hapa hapa ndani.

Nafasi ya goal keeper haihitaji foreign player, Onana, Saido, Luis, Baleke na Phiri wote ni average players tunadanganyana tu.

Ni vizuri tulete mtu ambaye ni kipaji kisichopatikana ndani! Kama tunataka nusu fainali tuingie hasara ya kuondoa wachezaji wengi wa kigeni tusajili watu wenye record na wataoingia kwenye kikosi direct.

Kama mfuko hauruhusu kununua wachezaji wa maana tuache kupotezea muda mashabiki na kumkausha koo Ahmed Ally! Tunaumiza makocha vichwa kwa vipaji very average na wachezaji wenyewe tunawalipa fedha nyingi.

Haya tumetolewa nishai na Mlandege yenye vipaji vingi local na bajeti ndogo! Tuache kuimbiana mapambio na kufukuza makocha! Viongozi wabadilike.

Kuitaja nusu fainali club bingwa kwa mikakati hii ni kutufanya watoto. Wachezaji wengi wa kigeni tumepigwa! Huyo kiungo mpya hamuwezi hata Aweso! Upumbavu tu!

Simbaaaa #nguvumoja[emoji109]
Ahmed Ally amekalia siasa visit Zanzibar na kugawa jezi kwa viongozi, Bora wafungwe wanachama wagundue upumbavu wao
 
Hivi mchezaji anapewa cross nzuri au pasi ndani ya 18 badala ya kuunga moja kwa moja anatuliza kwanza mpira chini auweke sawa halafu ndo apige,wakati huo mabeki wa timu pinzani wanasubiri nini? Halafu unasema huyo ndo mchezaji professional , Baleke, Saido na Onana wamepewa pasi na cross za kuunganisha tu wanaweka kwanza mipira vizuri ndo wapige mara unachukuliwa,pale ilitakiwa kuunga tu unaweka chini ujipange mabeki wanasubiri nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom