Facts! Foreign Players wa Simba wengi kawaida sana!

Facts! Foreign Players wa Simba wengi kawaida sana!

Hao wachezaji wa ndani mnaowasifia mbona hawatakiwi na timu za nje kwa dau kubwa ?
 
Bora hiyo. Kuna moja saido alienda chini na beki wa Mlandege, akatoa pasi moja nzuri sana kwa Baleke ya kupress tu kidogo upande wa kulia wa goli. Yeye akabambikizia tena mabeki upande wa kushoto kipuuzi kabisa akaharibu nafasi nzuri sana ya kushinda goli la wazi. Na bado akaendelea kuharibu nafasi nyingine nzuri tena na tena! i

Kama wanaanza kupunguza wachezaji, binafsi naona waanze na Baleke. Jamaa ana IQ ndogo sana ya ushambuliaji. Nguvu nyingi kwenye vitu vya kutumia akili kidogo tu.

Namna bora ya kuwapunguza hawa kina onana, saido, sarr na wengineo ni kuwaletea competition tu. Yani waletwe vijana wa kuwakata namba na wao bado wakiwepo. Waone namna walivyotakiwa kucheza kupitia wachezaji wengine halafu watimuliwe mazima!
Mrundi ndio anaitia timu short! Mrundi mambo yake ya gizani ndio yanaimaliza Simba! Mrundi kamaliza makali ya wachezaji wengi pale Simba, Baleke tunamjua vizuri ni mchezaji mzuri sana wivu roho mbaya ya mrundi ndio inamaliza wachezaji wetu
 
Tuache nongwa.wachezaji wote ni wazuri changamoto ni ligi yetu,ndo maana ata hawa wakwetu hakuna anayeng'aa akatafutwa na timu za nje.Kwasababu kama sisi tumewaona hao wa mataifa mengine,timu za hao wamataifa mengine wameshindwa nini kuona wakwetu.Wachezaji wetu waongeze juhudi kwasababu sio lazima kuchezea simba na yanga tu,timu ziko kibao uko nje sasa ukiona hawaonekani jua uwezo mdogo.
 
Back
Top Bottom