Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Hamna beki pale. Ukiwa serious unampita kiulaini tu,Hata Chemalone umemkataa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna beki pale. Ukiwa serious unampita kiulaini tu,Hata Chemalone umemkataa?
Mrundi ndio anaitia timu short! Mrundi mambo yake ya gizani ndio yanaimaliza Simba! Mrundi kamaliza makali ya wachezaji wengi pale Simba, Baleke tunamjua vizuri ni mchezaji mzuri sana wivu roho mbaya ya mrundi ndio inamaliza wachezaji wetuBora hiyo. Kuna moja saido alienda chini na beki wa Mlandege, akatoa pasi moja nzuri sana kwa Baleke ya kupress tu kidogo upande wa kulia wa goli. Yeye akabambikizia tena mabeki upande wa kushoto kipuuzi kabisa akaharibu nafasi nzuri sana ya kushinda goli la wazi. Na bado akaendelea kuharibu nafasi nyingine nzuri tena na tena! i
Kama wanaanza kupunguza wachezaji, binafsi naona waanze na Baleke. Jamaa ana IQ ndogo sana ya ushambuliaji. Nguvu nyingi kwenye vitu vya kutumia akili kidogo tu.
Namna bora ya kuwapunguza hawa kina onana, saido, sarr na wengineo ni kuwaletea competition tu. Yani waletwe vijana wa kuwakata namba na wao bado wakiwepo. Waone namna walivyotakiwa kucheza kupitia wachezaji wengine halafu watimuliwe mazima!