Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa kuachanaKwa hiyo zile saa 48 zilikuwaje tena?😄
Na mimavi juu...mpaka sasa Ni wachezaji wawili tu angalau tunaweza sema tuna professional player nao ni Ngoma na Inonga waliobaki unashika kichwa muda wowote wanachoma kibanda.Umeandika ushuzi wa hali ya juu.
Nakazia ila chama now kaisha Hana faidaIfike wakati ushabiki tuweke pembeni. Wachezaji wa kutoka nje ya Tanzania wanaostahili kuchezea Simba ni 3 tu; Ngoma, Inonga na Chama. Wengine wote wako level za Wachezaji wa KMC.
Umesema tuache ushabiki halafu unamuweka Chama? Be seriousIfike wakati ushabiki tuweke pembeni. Wachezaji wa kutoka nje ya Tanzania wanaostahili kuchezea Simba ni 3 tu; Ngoma, Inonga na Chama. Wengine wote wako level za Wachezaji wa KMC.
Inashangaza kuambiwa kaletwa na kochaMchezaji hata kutoa pasi ya uhakika ni shida.
Tumpe nafasi kidogo SarrWakuu,
Tuambiane ukweli familia, asilimia kubwa ya vipaji tunavyoleta Simba hapa Tanzania ni aina ya vipaji ambavyo ukifanya proper scouting vipo hapa hapa ndani.
Nafasi ya goal keeper haihitaji foreign player, Onana, Saido, Luis, Baleke na Phiri wote ni average players tunadanganyana tu.
Ni vizuri tulete mtu ambaye ni kipaji kisichopatikana ndani! Kama tunataka nusu fainali tuingie hasara ya kuondoa wachezaji wengi wa kigeni tusajili watu wenye record na wataoingia kwenye kikosi direct.
Kama mfuko hauruhusu kununua wachezaji wa maana tuache kupotezea muda mashabiki na kumkausha koo Ahmed Ally! Tunaumiza makocha vichwa kwa vipaji very average na wachezaji wenyewe tunawalipa fedha nyingi.
Haya tumetolewa nishai na Mlandege yenye vipaji vingi local na bajeti ndogo! Tuache kuimbiana mapambio na kufukuza makocha! Viongozi wabadilike.
Kuitaja nusu fainali club bingwa kwa mikakati hii ni kutufanya watoto. Wachezaji wengi wa kigeni tumepigwa! Huyo kiungo mpya hamuwezi hata Aweso! Upumbavu tu!
Simbaaaa #nguvumoja[emoji109]
Sadio Mane aliwashauri kumsajili Sarr.Huwezi kumuondoa Ahmed Ally kwenye lawama wakati yeye ndo anawajaza mashabiki matumaini hewa.
Au wapunguziwe pesaPale mchezaji wa kubaki ni Malone, Inonga na Ngoma tu, kidogo na Luis. Wengine wote wanatakiwa kuondoka wao na waliowasajili
Viongozi wa Simba sio wakuwaaminiInashangaza kuambiwa kaletwa na kocha
Tuko Serious unaleta utaniKuweni na subira
Kwa jicho langu la kitaalam Onana ni bonge la mchezaji ila nadhani hawezi pressure
Bado una wasiwasi na kiwango cha Miquison
Una wasiwasi na Vabakar Sarr hujaona CV yake?
Una wasiwasi na Baleke?
Una wasiwasi na Phri?
Kuweni serios kidogo
Hata Yanga kipindi Mayele anakuja alicheza mechi 7 bila kufunga ila uvumilivu ulitulipa
Aziz Ki mambo yalimgomea hapo awali pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Propaganda sana kama chama cha siasa. Kununua magazeti, mitandao na chawazViongozi wa Simba sio wakuwaamini
Matatizo ya Simba hayatokani na viongozi, bali yanatokana na mashabiki. Viongozi wanasajipi kwa lengo la kuwatuliza mashabiki na sio kuboresba timu.Wakuu,
Tuambiane ukweli familia, asilimia kubwa ya vipaji tunavyoleta Simba hapa Tanzania ni aina ya vipaji ambavyo ukifanya proper scouting vipo hapa hapa ndani.
Nafasi ya goal keeper haihitaji foreign player, Onana, Saido, Luis, Baleke na Phiri wote ni average players tunadanganyana tu.
Ni vizuri tulete mtu ambaye ni kipaji kisichopatikana ndani! Kama tunataka nusu fainali tuingie hasara ya kuondoa wachezaji wengi wa kigeni tusajili watu wenye record na wataoingia kwenye kikosi direct.
Kama mfuko hauruhusu kununua wachezaji wa maana tuache kupotezea muda mashabiki na kumkausha koo Ahmed Ally! Tunaumiza makocha vichwa kwa vipaji very average na wachezaji wenyewe tunawalipa fedha nyingi.
Haya tumetolewa nishai na Mlandege yenye vipaji vingi local na bajeti ndogo! Tuache kuimbiana mapambio na kufukuza makocha! Viongozi wabadilike.
Kuitaja nusu fainali club bingwa kwa mikakati hii ni kutufanya watoto. Wachezaji wengi wa kigeni tumepigwa! Huyo kiungo mpya hamuwezi hata Aweso! Upumbavu tu!
Simbaaaa #nguvumoja[emoji109]
Chama changamoto ni nidhamu tu ila ni game changer sana. Kwa mpira uliochezwa jana Kama angekuwepo mechi ya Simba ingeshinda.Umesema tuache ushabiki halafu unamuweka Chama? Be serious
Ukitaka kujua ni washenzi angalia ishu ya manzoki ilivyokua yaani sasa hivi yule Muhindi sio wa kumuamini janja janja nyingi.Propaganda sana kama chama cha siasa. Kununua magazeti, mitandao na chawaz