Facts Kesi ya Yanga vs Morrison

Facts Kesi ya Yanga vs Morrison

pole sana kwa kukariri sheria! case ya Morrison na Yanga inamshushaje daraja simba wakati wasimamizi wa mpira tff walisema Morrison alikuwa huru kucheza timu aitakayo! naudia pole sana??!!!!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo ni tar 24 huko CAS bado kimyaa au tiyari
 
Umeandika Fact Zilizo jaa uongo na kweli.
Hivyo simba ni Bingwa na atacheza Ngao ya Hisani.
By: Muwakikishi wa FIFA kule CAS nchini TFF
 
Back
Top Bottom