Facts Muhimu kuhusu WCB

Rayvanny anazingua anashindwa kukaa sehemu moja anachanganya mashabiki wake ..mara tetema mara vumilia
 
Tukuyu hakulimwi mpunga we poyoyo....
 
Hapo labda nandy ndo kidogo anafanya.Rayvanny yupo level za juu Sana kwanza ni msanii pekee Tanzania ambaye ameshinda tuzo ya BET ngoma zake zinauzika Sana lakini pia ndio msanii wa pili mwaka Jana alipata show nyingi za nje ukimtoa diamond na moja ya show take alifanya hispania spotfy ana stream kubwa hata listeners wengi katika nchi tofauti tofauti.Ndomaana kila tuzo zikitoka za nje ya nch lazima Rayvanny Angie kwenye nominees.Tukija kwenye maisha binafsi ya Rayvanny sizani Kama Ray ana maisha ya kawaida Kama anaenda Prado na anamnunulia gari Kali S2kizz (producer) mwaka Jana tu kawanunulia mafuta madereva wa bodaboda 50 mafuta ya 10000 ukiachana na hapo Rayvanny ana studio yake na video director wake binafsi kuwa na nyumba ya kupanga sio kwamba huna hela angalia aina ipi ya nyumba unapanga.
 
Tatizo Hawataki Tuendelee
 
Kwani Huyo diamond alitokea mikononi mwa Nani ? Unajua colabo ya davido kulikuwa na mkono wa ruge au ulikuwa kwenu namtumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mjinga Sana Huyo Rayvan anaishi Tabata ninamjua fika, na last week ameshindwa kulipa Kodi na soon anaweza kufukuzwa... Hizi sio story ni Hali halisi panda daladala nenda tabata kaulize uoneshwe kwake halafu uliza Madalali wa hayo maeneo.


Yani unakuja kupima mafanikio ya muziki wa rayvan kwa kumiliki Prado ambalo sio hela Yake iliyonunua. Unapima uwezo wake kwa kujazia watu petrol... Asikudanganye mtu kijana wasanii wa Wasafi hususani Rayvan ana njaa kali mno. Mwaka Jana yule demu wake alishindwa kutoa mchango wa harusi ya ndugu Yake aliyoahidi yeye na Rayvan ... Niishie hapa sitaki nimwage mengi hadharani kwa kukufurahisha wewe poyoyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni Kama nani wake?
 
You sound desperate...

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Me huwa sielewagi wasanii wakiwa front kwa camera wanajimwambafy kuwa wana maisha mazuri ila kila wakati tunashuhudia vituko tu nara kutumuliwa appartment walizopanga kwa kushindwa kulipa kodi, mbaya zaidi wakiumwa lol aibu tupu bakuli lazma litembezwe khaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania tumejaa wanafiki tupu, hatupendi mafanikio ya wengine.

Kwani wasanii wapo WCB tuu, wakati kuna waimbaji wa bongo fleva karibia milion.

Siku zote wenye mafanikio tunawaita freemason, hizi akili sijui nani alituroga na kutuachia watz.

#mond forever
 

Sijui umefanyia wapi huu utafiti. 😹
Ngoma alizofanya na Rayvanny ndio zimeenda sana zina ma viewers wengi mfano Tetema, na Nyegezi hiyo Kwangwaru hata haifiki.

Japo Harmonize wakati wake ulishafika wa kujitanua zaidi, wamemtoa ili wapumbavu waone hayupo tena na Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…