facts. SUA,UDSM,MZUMBE

facts. SUA,UDSM,MZUMBE

Huyu jamaa hanaga akili nyingine zaidi ya kubishania ubora wa chuo:::::idiot::::m2 mwenyewe unakuta kama kajitaid thana ana div 2 af kidomodomo

Hio div 2 wewe umeipata..mm nakwenda ardhi ila UDSM is the best..
 
yani wale wenye ufaulu mzuri 4m6 ndo wanaenda SUA,UDSM,MZUMBE
Wale vilaza waliobahatisha ndo wanaenda SAUT,TUMAINI,ST.JOHN
Na vyuo vingine vya private najua mtachukia

  • A%20S-key.gif
    • :yield:
      2013 TWENZETU

Siku hizi hamna anaeogopa hizi shule. Kawaida tu. Zamani ndo tulikua tunaogopa
 
Someni vijana achaneni na malumbano yasiyo na tija, ubora wa chuo una saidia sawa nakubali lakini kiu ya mwanafunzi husika kutaka kujua mambo ndiyo cha muhimu zaidi. Hata kama utasoma TEOFILO KISANJU kama una nia thabiti ya kujifunza lazima utatoka na kitu kichwani.
 
Sorry Sirjyerphy you court me wrong....hakyna sehemu nimesema sitamani kusoma tumaini,teku na jordan..please usipotoshe kauli...nilichosema ni kuwa karibu kila msomi wa nchi hii anatamani kusoma udsm ila ndoto zinapoyeyuka ndio tunaangalia haya machaguo mengine kaka...hata ningepangwa teku bado ningejivunia pia kwani nacho ni chuo kama vingine

Asee me sijawai kutaman kusoma udsm na kuna wasomi weng kama mimi...am interested in prosthetic,orthotics,eronetical,pharmacy nitakitaman udsm kwa lip sasa
 
Last edited by a moderator:
ISCO23; Hivyo ni vyuo vikongwe inawezekana Uzuri wake ukatokana na wataalam wa kudumu katika vyuo hivyo. SUA is very good in Agricultural Related Courses na ndizo zilizopo. Mzumbe ni Administrators, UDSM mchanganyiko.

Vyuo vingine vinaathiliwa na kutokuwa na Wahadhili Permanent, yaani unakuta Mhadhili anapigisha shule UDSM, then anaenda SAUT, akitoka hapo anaenda TEOFIL KISANJU,,,obvious watakaofaidi kwa sana ni wale wanafunzi wake PERSE.

Angalizo ni kwa hivi vyuo vingine kuhakikisha vinakuwa na Walimu wa Kudumu lakini ambao ni Competent
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya wadau wengi kuhusu ubora wa vyuo vikuu,wengi wanaoponda vyuo vingine kwamba havina ubora ni wavivu wa kufikiri.Kwasababu ukiangalia waalimu wengi wanaofundisha vyuo vingine wametoka hapohapo UDSM,kwaiyo kwa kifupi ni kwamba kama waalimu wa UDOM,SAUT na ST.JOHN wanatoa elimu mbovu basi chanzo cha ubovu wa elimu unaanzia UDSM,naomba mufanye Research mtaliona hili,jitaidini kutafuta CV za waadhiri wa vyuo vikuu.Naamini mnao andika humu JF ni wasomi wenzangu,naomba tuwe tunaandika hoja zenye mashiko.Ripoti za utafiti kuhusu elimu tanzania zinaonesha kwamba tuna upungufu wa walimu wa ngazi ya Phd kwa zaidi ya 40%.
 
Thumb up...a great thinker like u occur once in a while...:::RIGHT::::
 
Asee me sijawai kutaman kusoma udsm na kuna wasomi weng kama mimi...am interested in prosthetic,orthotics,eronetical,pharmacy nitakitaman udsm kwa lip sasa

Basi wewe upo katika ile 5% ya wanafunzi wasioitamani UD..95 iliyobaki wanapataka hapo labda wana biologia tu ndo wana dreams na muhimbili university
 
asante sana UDSM,SUA $ MZUMBE ni mkombozi wa TZ na kimataifa,big up sana kwa isco23,flyn ryder$ wu tang,mwambieni huyo mwanamalundi kuwa kama angechaguliwa vyuo hivi hatari bas angeaga mapema sana first semester
 
big up sana mbrazil kwa kuelezea hilo,ila nahisi butron ana uchungu na vyuo hivi lakini endelea kula bata vyuo vya kata utapata GPA kali mwishowe uje uwe dampo mtaani
 
Ngoja tuangalie hawa wanafunzi X na Y waliokua wanasoma shule Z.

X, hakuchaguliwa kujiunga na shule ya sekondari 2002 baada ya kumaliza la saba 2001(alienda MAKOKO SEMINARY MUSOMA)
Y, alichaguliwa kujiunga na shule ya sekondary NYAKATO BUKOBA

MATOKEO BAADA YA WAO KUMALIMA FORM FOUR 2006
X, alipata division one point 16, Y alipata division three point 22

X,alipagwa kusoma EGM PUGU lakini alikataa kwenda bali alienda MAUA SEMINARY
Y, alipangiwa PCM MWENGE yeye akaenda

MATOKEO YA FORM SIX 2009
X, alipata division one point 7, Y alipata four division ya 18

JE, NANI NI KILAZA? JE MAZINGIRA YAWEZA KU MSABABISHIA MTU KUTOFANYA VIZURI? KUMBUKA X, HAKUWEZA KUFAULU MTIHANI WA DARASA LA SABA.

AU MTIHANI WA KIDATO CHA SITA NDO KIPIMO CHA AKILI?
NAOMBA MAJIBU KWA WALE WANAO BEZA VYUO KWA VIGEZO YA WNAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO FULANI.
 
kwanza ww ruhi ni kilaza sana mbona unashindwa kuandika kumaliza na umeandika kumalima,ni jinsi gani ulivyojaza mistari ya bongo fleva kwenye mtihani wa kidato cha nne,so nakushauri usiwe unacomment threads za watu kama huna uhakika
 
we utakua unasoma memkwa tukana tena we si nimesikia unasoma memkwa kozi ya matusi! Tukana tusi jipya hlo ni outdated huo uwongo umemuona kituo gani? Kadanganye wasojua kusoma

hata memkwa wanatoa elimu mkuu.tatizo hatuupendi ukwel.
sidanganyi mtu coz haitanisaidia.
 
Ngoja tuangalie hawa wanafunzi X na Y waliokua wanasoma shule Z.

X, hakuchaguliwa kujiunga na shule ya sekondari 2002 baada ya kumaliza la saba 2001(alienda MAKOKO SEMINARY MUSOMA)
Y, alichaguliwa kujiunga na shule ya sekondary NYAKATO BUKOBA

MATOKEO BAADA YA WAO KUMALIMA FORM FOUR 2006
X, alipata division one point 16, Y alipata division three point 22

X,alipagwa kusoma EGM PUGU lakini alikataa kwenda bali alienda MAUA SEMINARY
Y, alipangiwa PCM MWENGE yeye akaenda

MATOKEO YA FORM SIX 2009
X, alipata division one point 7, Y alipata four division ya 18

JE, NANI NI KILAZA? JE MAZINGIRA YAWEZA KU MSABABISHIA MTU KUTOFANYA VIZURI? KUMBUKA X, HAKUWEZA KUFAULU MTIHANI WA DARASA LA SABA.

AU MTIHANI WA KIDATO CHA SITA NDO KIPIMO CHA AKILI?
NAOMBA MAJIBU KWA WALE WANAO BEZA VYUO KWA VIGEZO YA WNAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO FULANI.

Mwaka 2006 baada ya matokeo ya darasa la 7 nilikuwa mtu mwenye huzuni zaidi duniani,niliachwa kwenye selection kwani nilikuwa point 1 chini ta alama ya mstari nikiwa na alama 177 zangu nikabaki mtaani rafiki zangu wakachguliwa azania,benjamin dar sec kibasila na kwingineko....mungu si athumani mradi wa shule za kata ukatimia tukachaguliwa kwenda kuianzisha shule ikiwa na walimu wachache,vifaa haba vya kufundishia pale barabara ya mwinyi sec mwaka 2007 na baada ya matokeo ya kidato cha 4 mwaka 2010 nilikuwa na jambo la kujifunza,katika wale rafiki zangu walioenda shule nilizokuwa nazitamani muda huo ni nusu yao tu ndo walifanikiwa kupita na wengine 7 waliishia kupata division 4 huku mimi na shule yangu ya kata nikipasua mawimbi na 2 ya 21....advance tena nimekisanua ndanda sec 3 ya 13 na leo najiandaa kuingia IFM....kila nikiwakumbuka washkaji zangu basi napata somo kuwa elimu haina formula,ni kichwa cha mtu mwenyewe jinsi gani anaweza kubeba materials kichwani na kudeliver at the right time,chuo au shule nzuri itakusaidia iwapo tu na wewe utajisaidia hivyo nyie wa udsm na mzumbe badala ya kukaaa na kujisifia ni vema mkapambana ili baada ya miaka mitatu utambe vizuri ukiwa tayari na degree yako mkononi tena ikiwa ni kutoka chuo classic kuliko kuanza kupiga kelele sasa hivi baadae hao unaowaita wa vyuo vya kata wakupige bao...
 
Useless tale story...ume-quote mada ambayo haija-relate na topic yako
 
Hata madem kuna wazuri na wa kawaida.....
Chaguo ni lako....
Wengi wakikosa dem mzr wanabak kusema wote sawa lakini roho inauma.....
Mnaolinganisha Udsm n Saut sishangai....
 
Back
Top Bottom