Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #181
Haji manara sijamuona alishinda kwa kupanda bodabodaOrodha ya washindi wa #KiliMarathon2020 kilomita 42:
Wanaume:
1. Kiplagat Kiplimo (Kenya)
2. Abraham Too (Kenya)
3. Bernard Kipsang (Kenya)
Wanawake:
1. Lydia Wafula (Kenya)
2. Rosina Kiboino (Kenya)
3. Joan Rotich (Kenya)View attachment 1374153
Joaquin anakipigia Real Betis akiwa bado ana ufundi wake licha ya umri mkubwa.Wako wapi miamba hawa wa Valencia waliotamba kuanzia msimu wa 2010/11?
⬢ Joaquín
⬢ Juan Mata
⬢ Pablo Hernández