Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #81
Waaleikhum salaam mwamba kwema?
Nipo na timu yangu ya AC Milan ndugu yangu
1. Amepiga mashuti 5
2. Mashuti 5 yamelenga goli
3. Na amefunga magoli 4
Lionel Messi is back with a BANG.
Galam galam,
Katika thread hii tutapashana facts zilizo tokea katika viwanja mbalimbali vya michezo ama katika duru za michezo ulimwenguni.
Ruhsa kwa yeyote kuwasilisha takwimu ama habari ya mchezo aupendao.
Bismillah.