Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

567C2920-23CE-4755-A713-1FA12254445F.jpeg
 
ALIPATA KUNENA HAYA...

Mwalimu wa zamani wa klabu ya Real Madrid ambae pia alipata kuwa mchezaji wa timu hio na kuichezea mechi zaidi ya 400 Mhispania Vicente Gonzales del Bosque aliwahi kukaririwa akisema kuwa, kipindi anainoa klabu ya Real Madrid, kitu pekee ambacho klabu ya Barcelona walikuwa wakishangilia ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa klabu hio ya Calatan na si zaidi ya hapo

44E62DDD-63CA-49C0-B159-A64C70BFF6DB.jpeg
 
Back
Top Bottom