Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

NCHINI ITALY KUNA MSIBA...

Mshambuliaji wa zamani wa AC Milan na timu ya Taifa ya Italy mwamba Paolo Rossi amefariki Dunia hii leo.

Italy yoote imezizima.
Paolo Rossi mwamba alieitwa timu ya Taifa huku akiwa katoka kufungiwa kucheza soka kwa miaka miwili kwa kashfa ijulikanayo kama totonero na kuja kucheka na nyavu na kupelekea Taifa hilo kubeba ndoo mwaka 1982 amefariki Dunia usiku wa kuamkia hii leo na Mkewe kipenzi Bi Federica Cappeletti ameandika ujumbe kwenye ukarasa wake wa Insta akisema “per sempre” yaani forever.😭

atakumbukwa kwa kutwaa tuzo za World cup Golden Ball, World Cup Golden boot na Ballon D’Or kwa mwaka huo wa 1982 ambapo alifanikiwa kufunga magoli 6 katika mashindano hayo makubwa ya Dunia.

Kwa masikitiko makubwa nashindwa kumuelezea Rossi.
Hakika huu ni msiba mkubwa kwetu na Dunia kwa ujumla😭😭😭😭

Pumzika mahala pema mwamba.
Daima tutakuweka kwenye sala na maombi yetu.

B0B89B22-6BEA-49D9-B7DE-1661035B2A61.jpeg
C97FDC9F-8B71-4F3C-B341-A62774D4856A.jpeg
 
Memphis Depay is convinced that he'll end up playing for Barça. He hopes that it will happen in January rather than in the summer. Barça maintain weekly contacts with the forward's representation agency. [md] https://t.co/v30QhpcNti
 
PSG are getting increasingly confident of signing Leo Messi this summer. The club's marketing department has told the city's stores to be ready for a massive influx of shirt sales when the Argentinian would be announced.

— @RBairner https://t.co/XKH2RJZiWo
 
Bayern Munich remain in pole position to sign Dayot Upamecano from RB Leipzig. However, the German champions will not go crazy in this period because of COVID-19. (Source: @cfbayern) https://t.co/ktQJjnSJFN
 
Dani Olmo’s agent: “If Dani was close to Milan? Very. Boban liked him a lot and tried for him for weeks. We also met in Milano, I was in the company of Olmo’s father and Andy Bara. But at the end the player chose to continue his development at Bundesliga.”
 
Back
Top Bottom