Faculty gani yakusomea chuo kikuu (first degree)

Faculty gani yakusomea chuo kikuu (first degree)

Kasome Faculty of Islamic Studies, Morogoro! Ukitoka hapo unaenda kuajiriwa na Alshabaab, Boko Haram ISIS, Alqaeda etc!

Hahahahaha Kikwete ana kazi ngumu sana ya kuongoza watu kama hawa.
 
ni KLG.,ila mbona ulijitesa kusoma hii kombi?.ungepiga CBG then ungepata hz marks MD,geology,pharmacy,nursing,na course zote za sua njia nyeupeeeeeee!

Mkuu hii kombi ya KLG ilikuwepo toka mwanzo au zao la BRN?
 
Habar zenu . Jaman selection y masters mliman tayar au bd?! Na huaga wanatoa muda gani?
 
xo 4 a prsn hu gat flat C lyk CCC in hs o hr comb lyk sh o h ws takn CBG,cn dat prsn tak eithr phrmcy o MD?
 
Naweza kuomba coz gan na chuo gan ili nipate mkopo kwa matokeo aya D ya physc. D ya math na E ya chemi. Msada wwnu naomba wana jf
 
can you explain 2 me why coz wen u luk out 4 da total points ts 6 whch mnz ts mo dan da 5 points ndd inordr 4 da prsn 2 aply thm n at da same tym thy ar both prncpz wch allwz one 2 apply 4 da unvrsty?
 
Naweza kuomba coz gan na chuo gan ili nipate mkopo kwa matokeo aya D ya physc. D ya math na E ya chemi. Msada wwnu naomba wana jf

ijaswesha rejea kitabu cha TCU 2014/2015 kinasema principle pass ni A to C hivyo huwezi pata sababu una DDE
 
Last edited by a moderator:
can you explain 2 me why coz wen u luk out 4 da total points ts 6 whch mnz ts mo dan da 5 points ndd inordr 4 da prsn 2 aply thm n at da same tym thy ar both prncpz wch allwz one 2 apply 4 da unvrsty?

its true that the qualification you have but for such course which you want pharmacy or MD they want a person who have studied physics so you lack qualification
 
for what i know is that if una msingi wa phy na math olevel you can upply for them(pharmacy n MD) for some of the universities kama bugando where kwenye maonyesho yao ya tcu walisema wazi kuwa wao wanachukua watu waliosoma CBG for both courses ila tu uwe na base ya phy na math olevl...bt kwa vyuo ka muhimbili na kcmc i knw ts nt pocbl labd m2 afaulu sana.....
 
ijaswesha rejea kitabu cha TCU 2014/2015 kinasema principle pass ni A to C hivyo huwezi pata sababu una DDE

Co kweli ata mm ninacho io guide book ya tcu almost fani zote kwa sayans wanataka pnt 2 tu na mm nina 2.5 so ni faculty kama 3 tu iv nashndwa kupata kutokana na comb yngu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom