Fadlu David kabakisha muda gani Simba?

Fadlu David kabakisha muda gani Simba?

atatangulia kocha wa vichaa
1000239919.jpg
 
Wanakufa Man City goli mpaka tano hatusikii hizi mambo alikufa Madrid 4 hakuna ujinga huu wanajua ni sehemu ya matokeo kwenye mchezo ninyi ambao ligi yenu wachezaji mnawalipa cash mkononi na malipo mengine FIFA ndio wanasimamia wachezaji kupata haki zao hamtaki matokeo ya sare kwenye futbal mnataka matokeo ya kushinda tu kama ngumi za kamari za kina Maywether majaji wapo watatu.
 
Uwa anacho kichaka chake cha kujenga timu mwaka mzima anajengaga timu,,akishinda anakwambia tunautaka ubingwa🤣🤣
Anajenga timu. Ubingwa ni matokeo mkuu.
 
Huyu anafaa kuwa kocha wa viungo. Hana mbinu za maana uwanjani haswa timu ikielekea mechi ngumu na za kimataifa.

Sioni akimaliza siku 30 kuanzia Leo pale Msimbazi.
Mashabiki uchwara bwana, ulaya huko kuna timu iko kwenye hati hati ya kushuka daraja lakin wanakomaa na project.

Halaf shabiki maandazi anajifanya anaujua mpira kuliko kocha kisa katoa draw
 
Tatizo la ajira Tanzania limezalisha wajinga wengi Sana kila kitu wanajua
 
Wanakufa Man City goli mpaka tano hatusikii hizi mambo alikufa Madrid 4 hakuna ujinga huu wanajua ni sehemu ya matokeo kwenye mchezo ninyi ambao ligi yenu wachezaji mnawalipa cash mkononi na malipo mengine FIFA ndio wanasimamia wachezaji kupata haki zao hamtaki matokeo ya sare kwenye futbal mnataka matokeo ya kushinda tu kama ngumi za kamari za kina Maywether majaji wapo watatu.
Tz wengi wana mahaba na timu na sio mpira wa miguu. Makocha wana kazi ngumu sana
 
Tz wengi wana mahaba na timu na sio mpira wa miguu. Makocha wana kazi ngumu sana
Hawa wasiojua mpira kwa kuandika nyuzi mpya mara Zimbwe aachwe leo hii kafungisha aachwe alipofunga goli moja la ushindi kwa waarabu walisema aongezewe muda yaani kama vile ni watu wa riadha au kuogelea wamejichanganya kwenye futbal..
 
Back
Top Bottom