Fadlu David kabakisha muda gani Simba?

Fadlu David kabakisha muda gani Simba?

Umekunywa konyagi zako za kupima jero jero na bando la kukopa nipige tafu unakuja kuandika upuuzi tu.

Unataka SIMBA ashinde kila mechi kwani simba anacheza na hamisa mobeto? azam nayo timu na walijipanga wapate alama 3 kama sisi so acha upumbavu dogo behave hata kidogo au pilau la harusini wewe?
 
Wanakufa Man City goli mpaka tano hatusikii hizi mambo alikufa Madrid 4 hakuna ujinga huu wanajua ni sehemu ya matokeo kwenye mchezo ninyi ambao ligi yenu wachezaji mnawalipa cash mkononi na malipo mengine FIFA ndio wanasimamia wachezaji kupata haki zao hamtaki matokeo ya sare kwenye futbal mnataka matokeo ya kushinda tu kama ngumi za kamari za kina Maywether majaji wapo watatu.
Baambie baelewe...
 
Achague Moja sasa kujenga timu au kuutaka ubingwa sio anakuwa kama popo anapofanikiwa anasema hiki akiburuzwa maneno yanabadilika
Kuna siku amesema objective yake ni ubingwa?
 
Simba Itakuwa Bingwa Mwaka Huu, Tuwe Na Subira Maana Ni Ibada
 
Back
Top Bottom