Fadlu David kabakisha muda gani Simba?

Umekunywa konyagi zako za kupima jero jero na bando la kukopa nipige tafu unakuja kuandika upuuzi tu.

Unataka SIMBA ashinde kila mechi kwani simba anacheza na hamisa mobeto? azam nayo timu na walijipanga wapate alama 3 kama sisi so acha upumbavu dogo behave hata kidogo au pilau la harusini wewe?
 
Baambie baelewe...
 
Achague Moja sasa kujenga timu au kuutaka ubingwa sio anakuwa kama popo anapofanikiwa anasema hiki akiburuzwa maneno yanabadilika
Kuna siku amesema objective yake ni ubingwa?
 
Simba Itakuwa Bingwa Mwaka Huu, Tuwe Na Subira Maana Ni Ibada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…