Uyu kocha nae ni kituko tu kipo pale,,ameshindwa kuelewa kwamba Mpira kuisha ni mpaka kipyenga cha mwisho cha mwamuzi.
Yeye badala ya kuhimiza wachezaji wake waongeze Umakini kwakuwa Mpira ulikuwa bado kuisha yeye ndio akawa kinara wa kuhimiza mashabiki washangilie ushindi wakati Mpira ulikuwa bado kuisha karibia dk 10!
Soma Pia: FT | Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025
Sasa mchezaji anaona kocha anaanza kusherehekea ushindi na yeye anaona amemaliza kazi anabweteka,,kocha mwenzake alimsoma akafanya mabadiliko ya kiufundi ya haraka haraka wakati Fadlu akiwa anasherehekea kilichomkuta ndio icho!
Yanga wanaomba waje wacheze hivi hivi walivyocheza na Azam ili vilio viwe vya kutosha!