Fadlu mpira ni dk 90 badala ya kuhimiza umakini kwa wachezaji wako wewe unahimiza mashabiki washangilie ushindi na dakika bado kuisha!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Uyu kocha nae ni kituko tu kipo pale,,ameshindwa kuelewa kwamba Mpira kuisha ni mpaka kipyenga cha mwisho cha mwamuzi.

Yeye badala ya kuhimiza wachezaji wake waongeze Umakini kwakuwa Mpira ulikuwa bado kuisha yeye ndio akawa kinara wa kuhimiza mashabiki washangilie ushindi wakati Mpira ulikuwa bado kuisha karibia dk 10!

Soma Pia: FT | Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Sasa mchezaji anaona kocha anaanza kusherehekea ushindi na yeye anaona amemaliza kazi anabweteka,,kocha mwenzake alimsoma akafanya mabadiliko ya kiufundi ya haraka haraka wakati Fadlu akiwa anasherehekea kilichomkuta ndio icho!

Yanga wanaomba waje wacheze hivi hivi walivyocheza na Azam ili vilio viwe vya kutosha!
 
SIKU NINAANDIKA HAPA, SIMBA INAPASWA KUFANYA SAJILI ZA MABORESHO ZISIZOPUNGUA TANO.

TIMU BADO SANA KUFIKA WALAU NUSU WA ILE YA 2019.

WAACHANE NA.
1. Joshua Mutale.
2. Karabue Chamoe.
3 .Agustine Okejepha.
4. Dese Mukwala.
5. (Ngoma).
6 Manula.

MABORESHO YA SAJILI.
Beki wa kati NO 5.
Kiungo mkabaji No 6.
Kiungo mshambuliaji 10.
Mshambuliaji No 9.

Hadi leo sijapata majibu kwanini simba ilifanya usajili wa mchezaji mmoja tu Dirisha dogo!!!!
Au ndio kuvizua Free Agent

NIMEMALIZA
 
Manchester united timu kuuuubwa kabisa inasuasua.Timu kama simba imetoa droo kila mtu Kawa kocha kawa mchambuzi.
 
SIKU NINAANDIKA HAPA, SIMBA INAPASWA KUFANYA SAJILI ZA MABORESHO ZISIZOPUNGUA TANO.

TIMU BADO SANA KUFIKA WALAU NUSU WA ILE YA 2019.

WAACHANE NA.
1. Joshua Mutale.
2. Karabue Chamoe.
3 .Agustine Okejepha.
4. Dese Mukwala.
5. (Ngoma).
6 Manula.

MABORESHO YA SAJILI.
Beki wa kati NO 5.
Kiungo mkabaji No 6.
Kiungo mshambuliaji 10.
Mshambuliaji No 9.

Hadi leo sijapata majibu kwanini simba ilifanya usajili wa mchezaji mmoja tu Dirisha dogo!!!!
Au ndio kuvizua Free Agent

NIMEMALIZA
Hahahaha mshauri wa club ya Simba asiyesikilizwa..
 
Akuna cha kujenga timu Wala nini,,wakishinda uwa Wanakwambia tunautaka ubingwa,,wakigongwa Wanajificha kwenye kichaka cha kujenga timu
Hahahaha ndio ujue watu wa mpira Tanzania akili zao matope
 
Uyu kocha nae ni kituko tu kipo pale,,ameshindwa kuelewa kwamba Mpira kuisha ni mpaka kipyenga cha mwisho cha mwamuzi.

Yeye badala ya kuhimiza wachezaji wake waongeze Umakini kwakuwa Mpira ulikuwa bado kuisha yeye ndio akawa kinara wa kuhimiza mashabiki washangilie ushindi wakati Mpira ulikuwa bado kuisha karibia dk 10!

Soma Pia: FT | Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

Sasa mchezaji anaona kocha anaanza kusherehekea ushindi na yeye anaona amemaliza kazi anabweteka,,kocha mwenzake alimsoma akafanya mabadiliko ya kiufundi ya haraka haraka wakati Fadlu akiwa anasherehekea kilichomkuta ndio icho!

Yanga wanaomba waje wacheze hivi hivi walivyocheza na Azam ili vilio viwe vya kutosha!
Ubaya unwalaaa
 
Acha mbwembwe, kufungwa, kutoka sare ni sehemu ya mchezo.
 
Muwe mnaangalia mpira watu Kama kina Diego Simeon wanashangilia itakuwa Fadlu
 
Unashangili Mpira ukiwa umeisha na matokeo yashakuwa upande wako sio unashangilia na mechi bado aijaisha ni ujinga
 
binafsi nilishangaa kocha kugeuka kuwa shabiki. hata kama angeshinda jana, bado sioni mantiki ya tukio lile
 
Back
Top Bottom