Fadru Davis, nimekuita mara tatu bila hiki kikosi hutoboi March 8. Pokea ushauri wa bure

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
Kuelekea Siku ya Jumamosi nimeona nimshauri kocha Fadru kupitia hili Jukwaa la Jamii Forum.

Ninaamini hapa JF kuna viongozi wa simba, Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa simba watamfikishia Kocha kwa namna Moja Aman Nyingine.

Baada ya Kocha Fadru Kupoteza Michezo miwili dhidi ya Mshindani wake Mkubwa Yanga , akipoteza na Huu wa Tatu haijalishi Anatengeneza timu ama anajenga timu simba hawatakuwa na Kisingizio tena atakuwa amejiweka Rehani.

Nilimshauri Fadru Direct kusajili Kiungo No 10 hili linamtesa mno hadi Kesho baada ya kusajili Mchezaji mmoja tu Dirisha Dogo mpanzu.

Anyway Ushauri wa Mwisho kwake namshauri aende na ( 4- 3 -2 -1 ) na sio ( 4-2-3-1)

1: Mussa Camala.

2: Shomari Kapombe.

3: Mohamed Hussein.

4: Abdul Hamza

5: Che malone Fondoh.

6: Yusuph Kagoma.

7: Kibu Denis

8: Fabrice Ngoma.

9: Leon Ateba.

10: Debora Ferdnandez

11. Elie Mpanzu kibisawala.

Substitution.
1. Steven Mkwala
2. Jean charles Ohua
3. Joshua Mutale.
4. Nouma.
5. David kameta.

N: B
CHONDE CHONDE CHONDE FADRU USITHUBUTU KUMUANZISHA JEAN CHARLES OHUA
 
We siunasemaga kuongelea michezo ni ujinga

Mkuu mbona natumia Kiswahili Lugha ya Taifa la Tanzania.
Ujifundishe kutofautisha.

1.Jukwaa la Michezo.
2. Jukwaa la mabishano ya simba na yanga.
3. Jukwaa la utani wa jadi.

Tuanzie na haya kwanza

NB
Usisahau wenye Mpira wao FIFA wanasisitiza sana Fair Play
 
Kwamba hatakiwi kuomgelea michezo Au

Msamehe Mkuu huyo yeye anawaza Kuongele na Kubishana Simba na Yanga.

Mimi naongelea Michezo
Ufundi, ukocha , Mifumo, ushauri nk

Hajui tofauti ya jukwaa la Michezo na Jukwaa la Ushabiki wa Simba na Yanga.
Na Jukwaa la watani wa Jadi
 
Mkuu mbona natumia Kiswahili Lugha ya Taifa la Tanzania.
Ujifundishe kutofautisha.

1.Jukwaa la Michezo.
2. Jukwaa la mabishano ya simba na yanga.
Tuanze na haya mawili tu.

NB
Usisahau wenye Mpira wao FIFA wanasisitiza sana Fair Play
Kila sehemu na culture yake
Huku Tanzania ni utani wa jadi
 
Ahua nilichogundua watu hawamkubali kabsaaa, hasa kwenye match kubwa.
Tujuzane anatatzo gan.
 
Kuelekea Siku ya Jumamosi nimeona nimshauri kocha Fadru kupitia hili Jukwaa la Jamii Forum.

Ninaamini hapa JF kuna viongozi wa simba, Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa simba watamfikishia Kocha kwa namna Moja Aman Nyingine.

Baada ya Kocha Fadru Kupoteza Michezo miwili dhidi ya Mshindani wake Mkubwa Yanga , akipoteza na Huu wa Tatu haijalishi Anatengeneza timu ama anajenga timu simba hawatakuwa na Kisingizio tena atakuwa amejiweka Rehani.

Nilimshauri Fadru Direct kusajili Kiungo No 10 hili linamtesa mno hadi Kesho baada ya kusajili Mchezaji mmoja tu Dirisha Dogo mpanzu.

Anyway Ushauri wa Mwisho kwake namshauri aende na ( 4- 3 -2 -1 ) na sio ( 4-2-3-1)

1: Mussa Camala.

2: Shomari Kapombe.

3: Mohamed Hussein.

4: Abdul Hamza

5: Che malone Fondoh.

6: Yusuph Kagoma.

7: Kibu Denis

8: Fabrice Ngoma.

9: Leon Ateba.

10: Debora Ferdnandez

11. Elie Mpanzu kibisawala.

Substitution.
1. Steven Mkwala
2. Jean charles Ohua
3. Joshua Mutale.
4. Nouma.
5. David kameta.

N: B
CHONDE CHONDE CHONDE FADRU USITHUBUTU KUMUANZISHA JEAN CHARLES OHUA
Simba na yanga aitaji kikosi kizuri kinaitaji mganga mzuri bob.
 
Sasa mna kikosi gani tofauti na hicho?
 
Mkuu mbona natumia Kiswahili Lugha ya Taifa la Tanzania.
Ujifundishe kutofautisha.

1.Jukwaa la Michezo.
2. Jukwaa la mabishano ya simba na yanga.
Tuanze na haya mawili tu.

NB
Usisahau wenye Mpira wao FIFA wanasisitiza sana Fair Play
Kumbe Kuna jukwaa la mabishano ya simba na yanga hebu nionyeshe mwana lunyas mwenzangu 🤣
 
Back
Top Bottom