Fadru Davis, nimekuita mara tatu bila hiki kikosi hutoboi March 8. Pokea ushauri wa bure

Wengine hatufuatilii kwa Ufasaha sana Mpira na Majina ya Makocha na wachezaji

Sina Uhakika Kama nimeandika kwa ufasaha Majina ya...
Che malone Fondoh.
Mussa Camala.
Abdulazack hamza.
Fadlu Davis
Ohua Aohua nk

Siyajui kabisa Mkuu nisamehe kwa Ujinga wangu.
Atakusamehe Fadru
 
UEFA B LICENCE

Inahusisha Kocha kufundisha timu za vijana na ngazi ya Chini ya soka.

Inahusisha mbinu za Michezo.
Ufundishaji wa Mchezaji Binafsi.
Na maendeleo ya timu.

Hope nimekujibu.
Ndio Umejibu Ila sijaona sehemu Ya Kazi.
Naona kama umepiga chabo!
Inakuwa hivi:
SwAli
Kazi
Jibu

Alafu vyeti sio ukocha kocha ni yule aliyopo Field Anafundisha kwa vile unavyoshauri haujavipractice huna mamlaka ya kumshauri kocha kama fadlu.
Wewe bado unaishi kwenye vitu vya kufikirika na sio uhalisia.
 
Kuelekea Siku ya Jumamosi nimeona nimshauri kocha Fadru kupitia hili Jukwaa la Jamii Forum.

Ninaamini hapa JF kuna viongozi wa simba, Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa simba watamfikishia Kocha kwa namna Moja Aman Nyingine.

Baada ya Kocha Fadru Kupoteza Michezo miwili dhidi ya Mshindani wake Mkubwa Yanga , akipoteza na Huu wa Tatu haijalishi Anatengeneza timu ama anajenga timu simba hawatakuwa na Kisingizio tena atakuwa amejiweka Rehani.

Nilimshauri Fadru Direct kusajili Kiungo No 10 hili linamtesa mno hadi Kesho baada ya kusajili Mchezaji mmoja tu Dirisha Dogo mpanzu.

Anyway Ushauri wa Mwisho kwake namshauri aende na ( 4- 3 -2 -1 ) na sio ( 4-2-3-1)

1: Mussa Camala.

2: Shomari Kapombe.

3: Mohamed Hussein.

4: Abdul Hamza

5: Che malone Fondoh.

6: Yusuph Kagoma.

7: Kibu Denis

8: Fabrice Ngoma.

9: Leon Ateba.

10: Debora Ferdnandez

11. Elie Mpanzu kibisawala.

Substitution.
1. Steven Mkwala
2. Jean charles Ohua
3. Joshua Mutale.
4. Nouma.
5. David kameta.

N: B
CHONDE CHONDE CHONDE FADRU USITHUBUTU KUMUANZISHA JEAN CHARLES OHUA
Yaani wewe unampangia kocha kikosi? Si uombe kozi ya ukocha tu?
 
Tumekusikia mzee wa Goba! Msalimie chasambi maana nae anaishi huko goba. Karibu chimbo kwa mtoro, ama kwa Tito muuza mbuzi.
 
Kuelekea Siku ya Jumamosi nimeona nimshauri kocha Fadru kupitia hili Jukwaa la Jamii Forum.

Ninaamini hapa JF kuna viongozi wa simba, Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa simba watamfikishia Kocha kwa namna Moja Aman Nyingine.

Baada ya Kocha Fadru Kupoteza Michezo miwili dhidi ya Mshindani wake Mkubwa Yanga , akipoteza na Huu wa Tatu haijalishi Anatengeneza timu ama anajenga timu simba hawatakuwa na Kisingizio tena atakuwa amejiweka Rehani.

Nilimshauri Fadru Direct kusajili Kiungo No 10 hili linamtesa mno hadi Kesho baada ya kusajili Mchezaji mmoja tu Dirisha Dogo mpanzu.

Anyway Ushauri wa Mwisho kwake namshauri aende na ( 4- 3 -2 -1 ) na sio ( 4-2-3-1)

1: Mussa Camala.

2: Shomari Kapombe.

3: Mohamed Hussein.

4: Abdul Hamza

5: Che malone Fondoh.

6: Yusuph Kagoma.

7: Kibu Denis

8: Fabrice Ngoma.

9: Leon Ateba.

10: Debora Ferdnandez

11. Elie Mpanzu kibisawala.

Substitution.
1. Steven Mkwala
2. Jean charles Ohua
3. Joshua Mutale.
4. Nouma.
5. David kameta.

N: B
CHONDE CHONDE CHONDE FADRU USITHUBUTU KUMUANZISHA JEAN CHARLES OHUA
Kitendo Cha kumuweka Debora namba 10 kimedhihirisha kuwa wewe UNAUJUA mpira na haujakalili,Debora ana confidence,ana nguvu,mnyumbulifu na yupo aggressive kuliko dogo Ahoua ambaye akiguswa tu chini au anachelewesha kutoa mipira
 
Kuelekea Siku ya Jumamosi nimeona nimshauri kocha Fadru kupitia hili Jukwaa la Jamii Forum.

Ninaamini hapa JF kuna viongozi wa simba, Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa simba watamfikishia Kocha kwa namna Moja Aman Nyingine.

Baada ya Kocha Fadru Kupoteza Michezo miwili dhidi ya Mshindani wake Mkubwa Yanga , akipoteza na Huu wa Tatu haijalishi Anatengeneza timu ama anajenga timu simba hawatakuwa na Kisingizio tena atakuwa amejiweka Rehani.

Nilimshauri Fadru Direct kusajili Kiungo No 10 hili linamtesa mno hadi Kesho baada ya kusajili Mchezaji mmoja tu Dirisha Dogo mpanzu.

Anyway Ushauri wa Mwisho kwake namshauri aende na ( 4- 3 -2 -1 ) na sio ( 4-2-3-1)

1: Mussa Camala.

2: Shomari Kapombe.

3: Mohamed Hussein.

4: Abdul Hamza

5: Che malone Fondoh.

6: Yusuph Kagoma.

7: Kibu Denis

8: Fabrice Ngoma.

9: Leon Ateba.

10: Debora Ferdnandez

11. Elie Mpanzu kibisawala.

Substitution.
1. Steven Mkwala
2. Jean charles Ohua
3. Joshua Mutale.
4. Nouma.
5. David kameta.

N: B
CHONDE CHONDE CHONDE FADRU USITHUBUTU KUMUANZISHA JEAN CHARLES OHUA
Tafadhari, Chasambi na Kijili wasikose...!!
 
Ahoua aanze ...Debora aingie Sub
 
Back
Top Bottom