Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mna kikosi gani tofauti na hicho?
Ndio huyu ? AiseeWe siunasemaga kuongelea michezo ni ujinga
Unafundisha team gani hapa bongo?Tuanzie hapo!
Watakanyagwa 6-0 wakipanga hicho kikosi
Unamchukuliaga serious huyo mbumbumbu? Huyo dish lilishayumba tangu kitambo,maji kupwa maji kujaa.We siunasemaga kuongelea michezo ni ujinga
Huyo ni mbumbumbu bin ngumbaru,halafu anajifanyaga much knows sanaMababu pamoja na kuwa mfuatiliaji na msomaji wa habari za michezo karibu kila siku lakini bado ukaandika FADRU badala ya FADLU?
Kwani Che Malone amepona mkuu?
Mmeshaaza kuvurugana Madunduka, hayo mavurugano yenu tunawaomba yaishie humu humu mitandaoni mana hamchelewagi kuyaleta kwa Mkapa na hatimae mkang'oa viti shubamiti nyie.Kwani kocha ameomba ushauri ama msaada nje ya benchi la ufundi?
Acheni kumpangia kazi kibongo bongo, anao ujuzi wa kutosha kuliko wewe mshauri ambaye hujawahi kuwa kocha hata kwa wanao.
Ubaya Ubwela.
Fadru ndio nani mkuu?
wewe ni zwazwa kama mazwazwa wengine,kwa hiyo asipopanga kikosi chako hicho na akashinda tukufanyaje? Me nashauri ushikwe mbupu zako hizo kama unahasiwa.Msamehe Mkuu huyo yeye anawaza Kuongele na Kubishana Simba na Yanga.
Mimi naongelea Michezo
Ufundi, ukocha , Mifumo, ushauri nk
Hajui tofauti ya jukwaa la Michezo na Jukwaa la Ushabiki wa Simba na Yanga.
Na Jukwaa la watani wa Jadi