Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Atakusamehe FadruWengine hatufuatilii kwa Ufasaha sana Mpira na Majina ya Makocha na wachezaji
Sina Uhakika Kama nimeandika kwa ufasaha Majina ya...
Che malone Fondoh.
Mussa Camala.
Abdulazack hamza.
Fadlu Davis
Ohua Aohua nk
Siyajui kabisa Mkuu nisamehe kwa Ujinga wangu.
Ndio Umejibu Ila sijaona sehemu Ya Kazi.UEFA B LICENCE
Inahusisha Kocha kufundisha timu za vijana na ngazi ya Chini ya soka.
Inahusisha mbinu za Michezo.
Ufundishaji wa Mchezaji Binafsi.
Na maendeleo ya timu.
Hope nimekujibu.
Yaani wewe unampangia kocha kikosi? Si uombe kozi ya ukocha tu?Kuelekea Siku ya Jumamosi nimeona nimshauri kocha Fadru kupitia hili Jukwaa la Jamii Forum.
Ninaamini hapa JF kuna viongozi wa simba, Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa simba watamfikishia Kocha kwa namna Moja Aman Nyingine.
Baada ya Kocha Fadru Kupoteza Michezo miwili dhidi ya Mshindani wake Mkubwa Yanga , akipoteza na Huu wa Tatu haijalishi Anatengeneza timu ama anajenga timu simba hawatakuwa na Kisingizio tena atakuwa amejiweka Rehani.
Nilimshauri Fadru Direct kusajili Kiungo No 10 hili linamtesa mno hadi Kesho baada ya kusajili Mchezaji mmoja tu Dirisha Dogo mpanzu.
Anyway Ushauri wa Mwisho kwake namshauri aende na ( 4- 3 -2 -1 ) na sio ( 4-2-3-1)
1: Mussa Camala.
2: Shomari Kapombe.
3: Mohamed Hussein.
4: Abdul Hamza
5: Che malone Fondoh.
6: Yusuph Kagoma.
7: Kibu Denis
8: Fabrice Ngoma.
9: Leon Ateba.
10: Debora Ferdnandez
11. Elie Mpanzu kibisawala.
Substitution.
1. Steven Mkwala
2. Jean charles Ohua
3. Joshua Mutale.
4. Nouma.
5. David kameta.
N: B
CHONDE CHONDE CHONDE FADRU USITHUBUTU KUMUANZISHA JEAN CHARLES OHUA
Tumekusikia mzee wa Goba! Msalimie chasambi maana nae anaishi huko goba. Karibu chimbo kwa mtoro, ama kwa Tito muuza mbuzi.Kuelekea Siku ya Jumamosi nimeona nimshauri kocha Fadru kupitia hili Jukwaa la Jamii Forum.
Ninaamini hapa JF kuna viongozi wa simba, Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa simba watamfikishia Kocha kwa namna Moja Aman Nyingine.
Baada ya Kocha Fadru Kupoteza Michezo miwili dhidi ya Mshindani wake Mkubwa Yanga , akipoteza na Huu wa Tatu haijalishi Anatengeneza timu ama anajenga timu simba hawatakuwa na Kisingizio tena atakuwa amejiweka Rehani.
Nilimshauri Fadru Direct kusajili Kiungo No 10 hili linamtesa mno hadi Kesho baada ya kusajili Mchezaji mmoja tu Dirisha Dogo mpanzu.
Anyway Ushauri wa Mwisho kwake namshauri aende na ( 4- 3 -2 -1 ) na sio ( 4-2-3-1)
1: Mussa Camala.
2: Shomari Kapombe.
3: Mohamed Hussein.
4: Abdul Hamza
5: Che malone Fondoh.
6: Yusuph Kagoma.
7: Kibu Denis
8: Fabrice Ngoma.
9: Leon Ateba.
10: Debora Ferdnandez
11. Elie Mpanzu kibisawala.
Substitution.
1. Steven Mkwala
2. Jean charles Ohua
3. Joshua Mutale.
4. Nouma.
5. David kameta.
N: B
CHONDE CHONDE CHONDE FADRU USITHUBUTU KUMUANZISHA JEAN CHARLES OHUA
Jamaa mjinga sana, alisema kufatilia Simba na Yanga ni ukichaa wakati yeye ndo kichaa wa kufatilia Simba mpaka anashikwaga na gubu kuanzisha thread kama mwehu.We siunasemaga kuongelea michezo ni ujinga
Kitendo Cha kumuweka Debora namba 10 kimedhihirisha kuwa wewe UNAUJUA mpira na haujakalili,Debora ana confidence,ana nguvu,mnyumbulifu na yupo aggressive kuliko dogo Ahoua ambaye akiguswa tu chini au anachelewesha kutoa mipiraKuelekea Siku ya Jumamosi nimeona nimshauri kocha Fadru kupitia hili Jukwaa la Jamii Forum.
Ninaamini hapa JF kuna viongozi wa simba, Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa simba watamfikishia Kocha kwa namna Moja Aman Nyingine.
Baada ya Kocha Fadru Kupoteza Michezo miwili dhidi ya Mshindani wake Mkubwa Yanga , akipoteza na Huu wa Tatu haijalishi Anatengeneza timu ama anajenga timu simba hawatakuwa na Kisingizio tena atakuwa amejiweka Rehani.
Nilimshauri Fadru Direct kusajili Kiungo No 10 hili linamtesa mno hadi Kesho baada ya kusajili Mchezaji mmoja tu Dirisha Dogo mpanzu.
Anyway Ushauri wa Mwisho kwake namshauri aende na ( 4- 3 -2 -1 ) na sio ( 4-2-3-1)
1: Mussa Camala.
2: Shomari Kapombe.
3: Mohamed Hussein.
4: Abdul Hamza
5: Che malone Fondoh.
6: Yusuph Kagoma.
7: Kibu Denis
8: Fabrice Ngoma.
9: Leon Ateba.
10: Debora Ferdnandez
11. Elie Mpanzu kibisawala.
Substitution.
1. Steven Mkwala
2. Jean charles Ohua
3. Joshua Mutale.
4. Nouma.
5. David kameta.
N: B
CHONDE CHONDE CHONDE FADRU USITHUBUTU KUMUANZISHA JEAN CHARLES OHUA
Tafadhari, Chasambi na Kijili wasikose...!!Kuelekea Siku ya Jumamosi nimeona nimshauri kocha Fadru kupitia hili Jukwaa la Jamii Forum.
Ninaamini hapa JF kuna viongozi wa simba, Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa simba watamfikishia Kocha kwa namna Moja Aman Nyingine.
Baada ya Kocha Fadru Kupoteza Michezo miwili dhidi ya Mshindani wake Mkubwa Yanga , akipoteza na Huu wa Tatu haijalishi Anatengeneza timu ama anajenga timu simba hawatakuwa na Kisingizio tena atakuwa amejiweka Rehani.
Nilimshauri Fadru Direct kusajili Kiungo No 10 hili linamtesa mno hadi Kesho baada ya kusajili Mchezaji mmoja tu Dirisha Dogo mpanzu.
Anyway Ushauri wa Mwisho kwake namshauri aende na ( 4- 3 -2 -1 ) na sio ( 4-2-3-1)
1: Mussa Camala.
2: Shomari Kapombe.
3: Mohamed Hussein.
4: Abdul Hamza
5: Che malone Fondoh.
6: Yusuph Kagoma.
7: Kibu Denis
8: Fabrice Ngoma.
9: Leon Ateba.
10: Debora Ferdnandez
11. Elie Mpanzu kibisawala.
Substitution.
1. Steven Mkwala
2. Jean charles Ohua
3. Joshua Mutale.
4. Nouma.
5. David kameta.
N: B
CHONDE CHONDE CHONDE FADRU USITHUBUTU KUMUANZISHA JEAN CHARLES OHUA
Ahoua aanze ...Debora aingie SubKuelekea Siku ya Jumamosi nimeona nimshauri kocha Fadru kupitia hili Jukwaa la Jamii Forum.
Ninaamini hapa JF kuna viongozi wa simba, Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa simba watamfikishia Kocha kwa namna Moja Aman Nyingine.
Baada ya Kocha Fadru Kupoteza Michezo miwili dhidi ya Mshindani wake Mkubwa Yanga , akipoteza na Huu wa Tatu haijalishi Anatengeneza timu ama anajenga timu simba hawatakuwa na Kisingizio tena atakuwa amejiweka Rehani.
Nilimshauri Fadru Direct kusajili Kiungo No 10 hili linamtesa mno hadi Kesho baada ya kusajili Mchezaji mmoja tu Dirisha Dogo mpanzu.
Anyway Ushauri wa Mwisho kwake namshauri aende na ( 4- 3 -2 -1 ) na sio ( 4-2-3-1)
1: Mussa Camala.
2: Shomari Kapombe.
3: Mohamed Hussein.
4: Abdul Hamza
5: Che malone Fondoh.
6: Yusuph Kagoma.
7: Kibu Denis
8: Fabrice Ngoma.
9: Leon Ateba.
10: Debora Ferdnandez
11. Elie Mpanzu kibisawala.
Substitution.
1. Steven Mkwala
2. Jean charles Ohua
3. Joshua Mutale.
4. Nouma.
5. David kameta.
N: B
CHONDE CHONDE CHONDE FADRU USITHUBUTU KUMUANZISHA JEAN CHARLES OHUA
Simba Sports Club hakuna kocha mwenye hilo jina. Acha timu ifanye maandalizi