Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Suala la gesi na mafuta limeondolewa kwenye mambo ya muungano baada ya Zanzibar kuhisi wana mafuta, hii yote inatokana na ubinafsi wa wazanzibar na ujinga wa watanganyika kung'ang'ania muungano usiokuwa na tija
Tanganyika haikuungana na Zanzibar Kwa sababu za kiuchumi na wala Tanganyika haivihitaji visiwa hivyo Kwa sababu za kiuchumi isipokuwa ni Kwa sababu za kiusalama hususani enzi hizo ikulu ikiwa DSM pekee kiasi cha kufanya Zanzibar kuwa jirani na ikulu ya Tanganyika kuliko hata Kigoma.

Zanzibar wanaweza kuondoa yote na Muungano ukabaki lakini si kuondoa suala la ulinzi na usalama kwenye Mambo ya muungano.

Ndio maana unaona ni ngum au haijawah kutokea mkuu wa Majeshi ( CDF) kuwa Mzanzibari au kuona mkuu wa kikosi chochote cha ulinzi na usalama kuwa Mzanzibari.
 


Yaliyotokea Eritrea na sasa Tigrea ndiyo yako njiani kutokea TZ chini ya CCM , Time will tell. Hakuna Mzanzibari aliyeko ndani au nje ya nchi anayekubali huu uvamizi zaidi ya hawa vibaraka waliovalishwa vilemba vya ukoka na wahamiaji kutoka kwa Mvamizi Tanganyika
 
Kwa maana hiyo Tanganyika ndio mvamizi?
Kama ndiyo kwa nini Mzanzibari ni ruksa kumiliki ardhi Tanganyika lakini Mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar mpaka awe mkazi?
 
Kwa maana hiyo Tanganyika ndio mvamizi?
Kama ndiyo kwa nini Mzanzibari ni ruksa kumiliki ardhi Tanganyika lakini Mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar mpaka awe mkazi?
Ungaliwauliza CCM

Waziri Mkuu wa kwanza wa Zanzibar ,Mohammed Shamte Na baraza lake la mawaziri waliwekwa katika jela Za Tanganyika nchi jirani ,Januari 1964, chini ya amri Za Laanatullahi Nyerere bila kufikishwa mahakamani

Uvamizi uliopewa jina la muungano ulianzishwa tarehe 26 ,April ,1964.

Jee Kama Si uvamizi ni nini??
 
Ngoja niite usaidizi wa Wana historia kama Mohamed Said
 
Hapo ngoja tuite usaidizi wa Wana historia zaidi
 
Zanzibar ipo hai mpaka Leo Ila Tanganyika haijulikani kabisa Kama ilikuwa inchi inayoendesha mambo yake kivyake
 
ningependa kujua kwanini viongozi wa zanzibar wanaruhusiwa kugombea Tanzania bara, lakini watabzania bara hawatuhusiwi kugombea zanzibar kwa anaejua tafadhali!?
 
Ushauri wangu ni kuwa hakuna nchi inayokubali kuvamiwa. Jambo usilolipenda wewe , usiwafanyie wenzako. Hasara iliyopata ZNZ kwa uvamizi huu ni kubwa mno. Ni wakati wa kutuwachia tujenge nchi yetu Na Nyinyi mjenge yenu
Pia Wazanzibari wote mliojenga bara muondoke
 
🤣🤣🤣 Asante kwa historiaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…