Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Ushahidi wa baraza la mapinduzi kuridhia muungano uko wapi ? Kama huna ushahidi wa hilo huwezi tumia jina la muungano, ni mavamizi ya Tanganyika dhidi ya Zanzibar.
🤣🤣🤣
 
Tuna nchi moja yenye amani na tamu sana kuishi Duniani.Asante Mungu.
20210626_123342.jpg
 
Umeandika ,wabunge ndio wanaoiongoza Tanzania bara, ndio nikakuuliza Hiyo Inayoongozwa Tanzania bara ni nchi gani?
Swali lilikua kama Zanzibar inaingizwa pia na viongozi kwa upande wa Zanzibar tu. Je, Tanzania bara kuna viongozi gani wanaonongoza bara pekee?
Ndipo nilitaja wabunge
 
Swali lilikua kama Zanzibar inaingizwa pia na viongozi kwa upande wa Zanzibar tu. Je, Tanzania bara kuna viongozi gani wanaonongoza bara pekee?
Ndipo nilitaja wabunge
Na mimi ndio nikakuuliza Hiyo Tanzania bara wanakotoka Hao viongozi ni nchi gani?
 
Back
Top Bottom