Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Emmanuel Kasomi, hebu jaribu kutafuta kitabu cha Aboud Jumbe (The Partnership) ufahamu na upande mwengine wa mawazo ya muungano.

Naona kuna baadhi ya mambo umeyasoma kwa upande mmoja tu.
 
Emmanuel Kasim, hebu jaribu kutafuta kitabu cha Aboud Jumbe (The Partnership) ufahamu na upande mwengine wa mawazo ya muungano.

Naona kuna baadhi ya mambo umeyasoma kwa upande mmoja tu.
Sawa mkuu nitafanyia kazi hilo
 
Suala la gesi na mafuta limeondolewa kwenye mambo ya muungano baada ya Zanzibar kuhisi wana mafuta, hii yote inatokana na ubinafsi wa wazanzibar na ujinga wa watanganyika kung'ang'ania muungano usiokuwa na tija
Limeondolewa lini ??
 
Muungano wetu unakuwa defined na uopatikanaji wa gas na mafuta tu? Kama ingelikuwa hivyo Dubai wangekuwa nchi maskini sana
 
Kwahiyo unatushauri tusiendelee kuwavamia wazanzibar
Ushauri wangu ni kuwa hakuna nchi inayokubali kuvamiwa. Jambo usilolipenda wewe , usiwafanyie wenzako. Hasara iliyopata ZNZ kwa uvamizi huu ni kubwa mno. Ni wakati wa kutuwachia tujenge nchi yetu Na Nyinyi mjenge yenu
 
wao kwao ni halali ila sisi kwetu ni haramu wajiulize ni mtanganyika gtani anajenga Zanzibar lakini wao wapo huku tele wanajenga sasa hapo nani kamvamia mwenzie
Dah kweli kabisa ila ndo maana halisi ya muungano kama wao wanajenga kwetu.
 
Back
Top Bottom