Alphad zimevamiwa kama zilizovamiwa TAKO la Nyani na IST ,mtu wa kwnza kununua Alphad ni Wolper kitambo sana alikuwa nayo baada ya hapo watu wakaanza kuzivamia kisa Wolper alikuwa anaendesha.
Sasa mkuu hayo yote ukiyaongelea kwa Mara moja utakuwa huna cha kufanya? Pili lengo nilianza na alieuliza tofauti ya alphard V na G ndio kilikuwa kifaumbele changu, tatu kwani kuna sehemu nimeandika kwamba ndio nimemaliza?