Fahamu aina mbalimbali za magari

Fahamu aina mbalimbali za magari

Alphad zimevamiwa kama zilizovamiwa TAKO la Nyani na IST ,mtu wa kwnza kununua Alphad ni Wolper kitambo sana alikuwa nayo baada ya hapo watu wakaanza kuzivamia kisa Wolper alikuwa anaendesha.
 
Mbona hapo juu umeleeweka kaka,unesema utaanza na Alphad kwa kuwa kun mtu ameuliza.Mimi nadhani jamaa hajaelewa ila vyema umemuelewesha
Sasa mkuu hayo yote ukiyaongelea kwa Mara moja utakuwa huna cha kufanya? Pili lengo nilianza na alieuliza tofauti ya alphard V na G ndio kilikuwa kifaumbele changu, tatu kwani kuna sehemu nimeandika kwamba ndio nimemaliza?
 
Back
Top Bottom