Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Nshakukataza haya mambo da vincBahati mbaya sijapata kuona kundi langu nililopo..Worthless being.!
Why yeye? Mbona wewe umesema haujaona kundi lako...!Thanks but lazima tu uwe kwenye kundi mojawapo hapo.. U can't escape
Angeelezea introvert na extrovert kwa makundi manne usingejikosa!! Binafsi naona hajawaelezea hawa Sanguine hili ni kundi linalotoka ktk extrovert,watu ambao hawana lile shipa la aibu! Hawa ndio wazee wa show off wanapenda kusikilizwa,Ni washawishi wazuri,waongeaji,wachekeshaji,wanashauku Sana,si wazuri ktk ratiba! Yani hawana ratiba maalum ye kitu kikimgusa tu tayari twende,ni very social na huwa na marafiki wengi, hupenda kujulikana(kuwa maarufu).Super Thread Ever.
Kwa bahati nzuri au mbaya sijaona kundi langu, labda kwa wanao nitizama.
Unaongea lugha ya Mungu mkuu. Maana unaongea point zile zile..Angeelezea introvert na extrovert kwa makundi manne usingejikosa!! Binafsi naona hajawaelezea hawa Sanguine hili ni kundi linalotoka ktk extrovert,watu ambao hawana lile shipa la aibu! Hawa ndio wazee wa show off wanapenda kusikilizwa,Ni washawishi wazuri,waongeaji,wachekeshaji,wanashauku Sana,si wazuri ktk ratiba! Yani hawana ratiba maalum ye kitu kikimgusa tu tayari twende,ni very social na huwa na marafiki wengi, hupenda kujulikana(kuwa maarufu).
Hupendelea kufanya kazi za kuonekana ili apate sifa n.k na hawapendi kazi ngumuuu!😎
Kazi wanazopendelea kufanya ni Kama kuwa mtangazaji(mshehereshaji),uanamuziki,uchekeshaji n.k si kila mwenye hizo kazi Ni kutoka kundi hili hapana ila wengi wao hutoka hapa.. Dully Sykes ni moja ya kiumbe niliemtazama na kugundua anatoka kundi hili..
Ukiifahamu saikolojia kiundani Kuna watu utajua wanafaa wapi na wapi na ukiwa unaakili kubwa utaweza kuwaendesha kwani kila mmoja unajua udhaifu wake na uimara wake!,na elimu hii ikitumika ktk kuendesha kampuni unaweza kupata wafanyakazi unaowataka na ukafika unapopataka ila muda ndo unaohitajika!! Kuwasoma watu si jambo jepesi ila moja kati ya kundi jepesi kuwasoma ni hawa niliokutajia hapa.. wapo wengi ktk jamii hata likitokea tukio hawa wanakuwa wakwanza kufika na kuanza kutoa msaada tofauti na makundi mengine kidogo mpk wajivute fulani hivi hasa introvert maana hawa mara nyingi ni watu wa mantiki!! Maswali ya kwanini..? Kivipi..? Muda gani..? Hutoka kwao ni kwamba hawafanyi kitu kihisia zaidi ila in logics.
Ha ha huko kwenye serikali sipo huko unazungumzia social psychology Kuna wanaojua kucheza nayo.. hapa ni personality psychology kwenye jamii inaaminika Sanguine ni wengi kushinda makundi mengine..Unaongea lugha ya Mungu mkuu. Maana unaongea point zile zile..
Wewe si unaona serikali yetu inajua saikolojia yetu wote waTZ inatupeleka inavyoweza
Duuh pole sana. Je unaoishi nao wanasema nini kuhusu wewe?Binafs 65% Nipo kundi LA 3 na 35% Nipo kundi LA 2.. Sina Tabia yoyote toka KUNDI no.1. Sasa kuna wakati Tabia za KUNDI LA 3 zinanigharimu na kuonekana mtu mkatili hasa katika mahusiano ya kimapenzi.. Yaani sijali kumuumiza MTU wala kumsaliti.. Nifanyeje ili niweze Kurejea KUNDI no.2 full.???