Fahamu aina tatu ya tabia za binadamu na sifa zao

Back again,mada zako huwa nazipenda sana...
 
Najiona kundi la 1 ila nakosa baadhi ya sifa zake na pia najiona kundi la 2 napo nakosa baadhi ya sifa zake...
Sasa mimi nipo kundi gani maana huko kundi la 3 sijioni kuwepo huko kabisa
 
Hao aggresive ndio wanashikilia asilimia 90 ya ulimwengu
 
Dodo umeshusha vitu safi sana.
 
Daah nishakukatalia kuniita dogo ila wapii.. Haya bwana mkubwa!!
Hingera kwa kuelimika
Mkuu niwie radhi...kwa kukuita dogo, sintokuita tena hivyo....ingawa sikumbuki lini ulikataa nisikuite hivyo.

Nimejifunza kitu kwenye uzi huu,
Asante.
 
Mkuu niwie radhi...kwa kukuita dogo, sintokuita tena hivyo....ingawa sikumbuki lini ulikataa nisikuite hivyo.

Nimejifunza kitu kwenye uzi huu,
Asante.
Haina shida lakini..
Wewe unadhani kuna mtoto anaweza andika mada hizi??
 
Zaganza kwanza siyo kwamba mnafundishwa ku-pretend kwa kuwaheshimu maboss no, kuna kitu kinaitwa MANAGEMENT AND ADMINISTRATION .

hapa utajifunza mambo mengi sana ktk uongozi mojawapo huwa ni kuheshimu ma boss wako,pia haijazuia kuto challenge lakini kuna utaratibu wa kufanya hivyo.

Pia wataalumu mbali mbali wa masuala ya kisaikolojia wanashauri sana namna ya ku deal na maboss rejea 48 Principles kama syo 48 laws kama sijakosea pia utakuta mambo kama ya kuto mu underestimate your master pia ukiwasoma kina Sunt zu na Machiavelli utaona hicho kitu

Pili kuhusu hili la kuwaheshimu maboss wako,ni nature kwasababu hata bila ya wanasaikolijia heshima ilianza tu pale jamii fulani ilipostaarabika ndio maana baba na mama unamheshimu plus mtu yeyote mzima,

Thanks!
 
Nakumbuka pale queen of peace sec. hapo nzega!tukiwa tunasahisha mitihani ya fom 2!jamaa wakaomba tuseme changamoto!nikasimama tena kujiamini kabisa!kwanza malipo ya awali ya nauli na kazi angalau tununue hata dawa za meno!pili mbona tumefanya kazi siku tatu ndo mnatuapisha???BAADA YA HAPO KIZAA ZAA!NILIONDOLEWA MARKING MAPEMA NA HELA WAKANIPA!!HADI LEO SIHOJI CHOCHOTE NIMEANGUKIA KUNDI LA PILI!!!
 
Mimi ni Passive

Hakuna mateso makubwa kama kuwa kundi hili, Mara nyingi huwezi kusema hata ukitendewa ubaya hali inayokuacha na msongo wa mambo mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…