Heri lee
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 981
- 537
Alipo malaika aliepewa jukumu
LA kulinda bustani ya edeni baada
Ya muanguko
Mafukuzo ya Mungu.baada ya Adam
Na kipenzi chake Hawwa au Evah
Kula mti wa ujuzi wa mema na mabaya
Kitendo kilichomkasirisha.Mungu mwenyenzi
Na kuwafukuza kumiliki bustani nzuri
Mno ya Eden baada.ya kupewa kadi nyekundu Mungu
Aliweka Makerubi malaika mwenye upanga mkali wa moto
Kulinda mtu aliendee njia hiyo
Je malaika aliepewa jukumu la kulinda alionekana kwa macho ya
Kawaida jibu Biblia haikoa lakini kitabu
Cha Enosh kinaeleza alikuwa anaonekana
Kama kivuli hashikiki akiwa na chapeo
Ya dhahabu na dirii za fedha na Jambia ya kukata
Kuwili wa chuma na aliwaka kama Jua
Makerubi huyu aliinda bustani kwa muda gani
Kerubi aliinda kwa muda wa mgawo wa miaka 1600
Kufuatia gharika la Nuhu kuiharibu vibaya sana
Bustani ya Eden hivyo kupotezwa kwa bustani ile
Na gharika.la Nuhu kukawa mwisho wa
Kerubi kulinda sababu hiyo yule malaika
Nae akarudi Mbinguni baada ya mgawo kukamilika