Kipanga boy
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,409
- 1,219
Eden ni endless Garden
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dhambi ya kula tunda LA mti wa ujuzi wa mema na mabaya Ni KULAWITI
Sasa Kama ipo mbona hakuna aloyewahi kuionaKama gharika liliaribu edeni malaika alikuwa na kazi gani?
Na kama mungu alitaka eden iharibike asingeweka mlinzi,
Mimi naona bado eden ipo mkuu
Mmh alimkabithi Ibrahim kazi ganiNachojua...
Malaika huyu alikuwa anaitwa Melkizedeki na baada ya anguko la Adamu alikuwa na jukumu moja kubwa sana la siri alilopewana Mwenyezi Mungu.
Lakini baada ya bustani kupotwezwa wakati wa Nuhu, hakurudi mbinguni kama unavyodai, ila alikaa duniani akitekeleza jukumu lake hilo tangu kizazi cha Nuhu mpaka alipozaliwa Ibrahimu.
Aliweza kutekeleza jukumu hilo akivaa mwili wa mwanadamu na kuchukua maumbo tofauti tofauti na huyu ndiye kwenye kitabu cha Mwanzo 14:18 anaonekana kama Kuhani wa Salem wa Mungu aliye juu sana.
Alipomaliza kazi yake hiyo alimkabidhi Ibrahimu mikoba rasmi.
Hapo ndipo alipoondoka na kurudi rasmi mbinguni.
Msiniulize jukumu lake hilo la siri , maana ni la siri.
[emoji23][emoji23]Hizi thread sjuwi huwa zinapata vipi mwanya wa kuingia jukwaa la intelligence!! Zinatakiwa ziende jukwaa la imani
hebu tuambie weweHapana
unaijua story ya SODOMA na Gomora!?..dhambi ya kula tunda LA mti wa ujuzi wa mema na mabaya Ni KULAWITI
Ukweli gusa hapaAlipo malaika aliepewa jukumu
LA kulinda bustani ya edeni baada
Ya muanguko
Mafukuzo ya Mungu.baada ya Adam
Na kipenzi chake Hawwa au Evah
Kula mti wa ujuzi wa mema na mabaya
Kitendo kilichomkasirisha.Mungu mwenyenzi
Na kuwafukuza kumiliki bustani nzuri
Mno ya Eden baada.ya kupewa kadi nyekundu Mungu
Aliweka Makerubi malaika mwenye upanga mkali wa moto
Kulinda mtu aliendee njia hiyo
Je malaika aliepewa jukumu la kulinda alionekana kwa macho ya
Kawaida jibu Biblia haikoa lakini kitabu
Cha Enosh kinaeleza alikuwa anaonekana
Kama kivuli hashikiki akiwa na chapeo
Ya dhahabu na dirii za fedha na Jambia ya kukata
Kuwili wa chuma na aliwaka kama Jua
Makerubi huyu aliinda bustani kwa muda gani
Kerubi aliinda kwa muda wa mgawo wa miaka 1600
Kufuatia gharika la Nuhu kuiharibu vibaya sana
Bustani ya Eden hivyo kupotezwa kwa bustani ile
Na gharika.la Nuhu kukawa mwisho wa
Kerubi kulinda sababu hiyo yule malaika
Nae akarudi Mbinguni baada ya mgawo kukamilika
Mkuu kwani wewe ulielewaje uliposoma hiyo mada kuhusu alichosema Papa?
Labda jamaa hajui kusoma! Maana na mimi nimesoma lakini naona maana tofauti na jamaa anayosema!Mkuu kwani wewe ulielewaje uliposoma hiyo mada kuhusu alichosema Papa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu haya ya kumkabidhi Ibrahimu umeyatoa kwenye kitabu gani?Nachojua...
Malaika huyu alikuwa anaitwa Melkizedeki na baada ya anguko la Adamu alikuwa na jukumu moja kubwa sana la siri alilopewana Mwenyezi Mungu.
Lakini baada ya bustani kupotwezwa wakati wa Nuhu, hakurudi mbinguni kama unavyodai, ila alikaa duniani akitekeleza jukumu lake hilo tangu kizazi cha Nuhu mpaka alipozaliwa Ibrahimu.
Aliweza kutekeleza jukumu hilo akivaa mwili wa mwanadamu na kuchukua maumbo tofauti tofauti na huyu ndiye kwenye kitabu cha Mwanzo 14:18 anaonekana kama Kuhani wa Salem wa Mungu aliye juu sana.
Alipomaliza kazi yake hiyo alimkabidhi Ibrahimu mikoba rasmi.
Hapo ndipo alipoondoka na kurudi rasmi mbinguni.
Msiniulize jukumu lake hilo la siri , maana ni la siri.
Hahaha adamu alikua konki konki fireHa ha ha kumbe kumkonk eva ndo kumeleta anguko kwa adam?
Mhh iii ni mupya mupyadhambi ya kula tunda LA mti wa ujuzi wa mema na mabaya Ni KULAWITI
Siri siriniNachojua...