Nachojua...
Malaika huyu alikuwa anaitwa Melkizedeki na baada ya anguko la Adamu alikuwa na jukumu moja kubwa sana la siri alilopewana Mwenyezi Mungu.
Lakini baada ya bustani kupotwezwa wakati wa Nuhu, hakurudi mbinguni kama unavyodai, ila alikaa duniani akitekeleza jukumu lake hilo tangu kizazi cha Nuhu mpaka alipozaliwa Ibrahimu.
Aliweza kutekeleza jukumu hilo akivaa mwili wa mwanadamu na kuchukua maumbo tofauti tofauti na huyu ndiye kwenye kitabu cha Mwanzo 14:18 anaonekana kama Kuhani wa Salem wa Mungu aliye juu sana.
Alipomaliza kazi yake hiyo alimkabidhi Ibrahimu mikoba rasmi.
Hapo ndipo alipoondoka na kurudi rasmi mbinguni.
Msiniulize jukumu lake hilo la siri , maana ni la siri.